Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Mwasisi wa huu ujinga ni yeye mwenyewe
 
Anatafuta huruma huyu, enzi zake si alijifanya mbabe. Au anasikilizia pdf.
 
Laana inawamaliza kabla ya 2025, huku uraiani sara ni nyingi mno mkiziepa mkatambike
 
gambo naona kivuli cha ukatili, unyanyasaji, ujambazi, uuaji mliojenga wakati wa mwendazake ndio kinawaandama!
Na bado vitawaandama hadi muanze kutafunwa na ukoma hadi mfe kwa mateso mnajiona!
 
Anawajua wauwaji wenzie huwa wanafanya nini..!!! Yule wa katiba mpya si ni haya haya aliyoyasema yalitokea..!!
 
Anatafutwa na nani auliwe kwa kosa gani anatafuta huruma kisiasa, Arusha mjini wananchi wake ni waelewa.
 
Atulie tu kama wamebeba na lotion ni utaratib tu wa kuepuka friction!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…