Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Huko kwenu Geita kwenye waaminifu na wachapa kazi mbona mmeshindwa hata kupaendeleza mpaka sasa mnakunywa maji na mifugo?
Ndugu yangu sema tena na tena. Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo. Huyu jamaa mheshimiwa Godbless Lema alikuwa anapigha kelele sana kuhusu unyambisi wake lakini kwa sababu ni Chadema hawa watu wakajifanya hasikii. Sasa wanakiona cha moto. Na bado. Hawa ndiyo wakikuwa ''chawa'' wa mwendazake hawa. Hovyo kabisa. Wako wengi, kina Sabaya, Makonda, Jerry Muro, Hapi... wote hawa ni wapigaji wakubwa na wengi wameshamgeuka Magufuli utadhani hawakupata kumuona.Mliambiwa na Kamanda Lissu kuwa mkimaliza kuwatafuna upinzani mnao dhani kuwa ni adui zenu mtageukina kuuna wenyewe hamkusikia. Dhambi ya usaliti ni mbaya sasa Sasa inawatafuna wenyewe. Jiwe alikuwa mharifu sana yule Mzee.
Utajiri unamilikiwa na makampuni ya kizungu... ukweli ni kuwa mikoa ya kanda ya ziwa inaongoza kwa umasikiniHahaaa!!
Ilaumiwe serikali kwa kushindwa kusimamia vizuri rasilimali zao hao watu wa Geita!!
Hivi unafahamu utajiri wa mkoa wa Geita ulioundwa juzijuzi tuu, kwenye mikoa kumi tajiri, Geita ni ya 6 na Arusha ni ya 8??
Tufanye kazi tujenge nchi, tuondoe umasikini...tuache ubaguzi na generalisation za kikabila na kikandaWote tukiwa matajiri, Nani ataenda kununua kwa mwenzake?
HUYO KIJANA ni wa ILALA BUNGONI DAR , kesha watapeli huko Arusha, anachofanya ni kuwavuruga tu huyo kichwani uji tupu, kichaa kabisa nyie endeleeni kumchekea.Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.
Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Unatuhumu kwa hoja za hewani...Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.
Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Hivi kwa nini zile timu za uchunguzi za TAMISEMI na PPRA zimeondolewa?Jikite kwenye hoja ya ufisadi wa hao uliowataja kuonewa.
Kwamba Serikali imuonee Mkurugenzi wa Jiji
la Arusha kwa sababu ya Gambo huku PM na vyombo vya uchunguzi vikubaliane nalo?!
Hizo kauli za we nani ni kauli za kijinga sana. We nani? Kwani nani ni nani katika dunia hii? Ni Mungu tu ndiye huwainua wanyonge na kuwaketisha na wakuu na ndiye huyo huyo anayewashusha wenye viburi. Mwisho hakuna binadamu yeyote aliye juu ya mwingine wote wana nafasi sawa ya kuwa wa maana kama walivyo na nafasi sawa ya kuwa mavumbi tu.
Mimi ni kijumbe tuu maugomvi ya chama chawala hayanihusuHizo kauli za we nani ni kauli za kijinga sana. We nani? Kwani nani ni nani katika dunia hii? Ni Mungu tu ndiye huwainua wanyonge na kuwaketisha na wakuu na ndiye huyo huyo anayewashusha wenye viburi. Mwisho hakuna binadamu yeyote aliye juu ya mwingine wote wana nafasi sawa ya kuwa wa maana kama walivyo na nafasi sawa ya kuwa mavumbi tu.
Hafai kwakuwa ameamua kufichua wezi?Gambo hafai kuwa kiongozi ni mtu wa hovyo sn
Sioni kama kunayo sababu ama maana kuwatetea ikiwa wewe siyo mmojawapo mfaidika na pesa za umma ambazo watu walioaminiwa na kupewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameamua kujigawia wenyewe na kupeana kwenye akaunti zao binafsi.Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.
Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Mtavuna mlichopanda .Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.
Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Nimeishia hapo ulipoandika Sabaya. Ikatosha kunijulisha kuwa ulichoandika ni utumbo mtupu.Moja ya ukanda mgumu kabisa kufanya kazi Kwa mtu mpenda haki na mwajibikaji wa kweli, ni Kanda ya kaskazini has a Arusha!
Ukweli lazima usemwe, watu wa kule inafahamika na watu wote kwamba, ni wezi na wapenda kuiba Kwa namna yoyote ile
Kwa kuwa hali ile ipo kwenye damu zao, basi huwa wanailinda Kwa hali yoyote ile pindi onapotokea mmoja akiwakwamisha kwenye magendo yao!
Watu wa Arusha, hawapendi ukweli, wanapenda shortcut iwe kwenye biashara zao, serikalini na hata kwenye secta binafsi si waungwana hata kidogo
Inapotokea kijana mmoja akiwakinyume na wao, watadili naye Kwa kumsingizi ili tu ikiwezekana hata afie jela kama walivyomfanyia kijana yule Sabaya! Watamtengenezea maneno ya uwongo na ikiwezekana atatafutiwa mizengwe pasipo yeye kufahamu na kujikuta akiangukia police
Gambo kaamua kusema ukweli, angalia cheni inayomfuatilia!!
Taifa hili likikosa waungwana, litaangamia kabisa,
Nimehi kufanya kazi na vijana wa huko Arusha kwenye kampuni moja hivi, ile lugha ya unajituma na kujifanya msamalia mwema hii kampuni ni ya babaako??
Hiyo lugha wanayo sana wenzetu huko, Wao kwao pesa mbele kuliko wao walivyo!
Ni mwizi snHafai kwakuwa ameamua kufichua wezi?
Gambo siyo kirusi mkuu! Kirusi ni yule anayetaf7na fedha za umma bila huruma. Gambo amefanya kazi vizuri tuMkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.