broken ages
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 235
- 84
Achana naGambo anajulikana kihistoria kama kiongozi mpenda majungu, mpiga dili, mtumia madaraka kwa faida yake, mfujaji wa pesa za umma, msaka michango kwa watu binafsi kwa nguvu na vitisho akiwa kavaa koti la Regional Commissioner, afadhali sasa Mbunge pekee aliyekuwa katarajia uwaziri wa utalii. Tangu Korogwe vituko vyake ni vingi. Ndani ya CCM ni wazi yuko unpopular mno, amshukuru Magu aliyemuibia kura kuwa mbunge. Bahati mbaya alimponda Magu baada ya kufa ili ajifitishe kwa SSH. Ni ka mtu ka ajabu sana. Ninakumbuka alivyomtembeza marehemu mzazi wake ili kujikusanyia mapesa! PM usipoteze muda ya huyo hao wate shida ndio maana Arusha barabara ni mbovu, mitaani barabara mbovu, stendi hakuna shauri ya mivutano sijui kwa nini hamvunji baraza la madiwani. So sad!
Kumwongelea Gambo,achana na majungu ishu hapa siyo Gambo ishu hapa ni pesa ya wananchi imetafunwa na viongozi na jaribu kidogo kuondoa chuki zako binafsi kwa gambo jikite kwenye tatizo.