Mrisho Gambo ni Kirusi hatari anayetafuna viongozi Arusha

Achana na
Kumwongelea Gambo,achana na majungu ishu hapa siyo Gambo ishu hapa ni pesa ya wananchi imetafunwa na viongozi na jaribu kidogo kuondoa chuki zako binafsi kwa gambo jikite kwenye tatizo.
 
Kam kina Pima na kanani walitafun pesa za wanna was archuga bas wadhibitiwe vikali ila gambo Sina Imani nae kbsa mm namuona Ni kiongozi mwenye roho mbaya Sana kwa ngu mm cmpend kbsa cjui kwann na kupenda kapandisha mabega

Ila John momgela Ni mshikaji wake yule anapenda viwanja Sana kila mtaa Ana kiwanja ndio asset ameamua kumiliki
 
Shida ya Pm Majaliwa huwa ana kurupuka. Ila Pima pamoja na kufanya kazi zake za serikali kama kada wa Ccm bado ni jembe.
Jembe wapi aliletwa na jpm kwa maslahi ya kikabila
 
Jamaa anaonekana ni mchonganishi sana. Yeye na Msukuma ni style moja.
 
Sina ushahidi wa hilo lakini akiwa RC alikuwa mla rushw asn
La mkurugenzi kula rushwa hauna ushahidi nalo, ila la Gambo alipokuwa Rc kula rushwa una ushahidi nalo bila hata ya kuweka vielelezo vya msingi?

Kweli nataka niamini sasa kuwa wanaosema kufanyia kazi Arusha ni pagumu sana wanamaanisha!
 
La mkurugenzi kula rushwa hauna ushahidi nalo, ila la Gambo alipokuwa Rc kula rushwa una ushahidi nalo bila hata ya kuweka vielelezo vya msingi?

Kweli nataka niamini sasa kuwa wanaosena kufanyia kazi Arusha ni pagumu sana wanamaanisha!
Arusha siyo sehemu ya kuongozwa na watu wajinga
 
Arusha siyo sehemu ya kuongozwa na watu wajinga
Mimi sina interest yoyote ya kibinafsi na hao viongozi.

Si mwanachama wa Cdm wala Ccm, furaha yangu na ushabiki wangu huanzia pale ninapoona kiongozi yeyote anatoka hadharani na kukemea rushwa bila kujali ni wa "madhehebu" gani kisiasa!

Nimeanza kumshabikia Gambo kuanzia pale kwenye ziara ya Pm alipomnasisha Mkurugenzi mumiani kwa ulaji wake wa kichafu wa kula bila kunawa midomo na kuacha mabaki ya damdam kutamanisha mainzi.

Kwangu mimi, kiongozi anayejitokeza kukemea, kuongelea ama kukamatisha wahujumu uchumi, ndiye kiongozi mzuri na mwenye busara.

Sioni popote ujinga wa Gambo.
 
Gambo ni jangili kuliko DED
 
Gambo ni jangili kuliko DED
Jamani nyie!
Tusiburuzane kuchukia watu, wewe kama unamchukia siwezi kukulazimisha umpende.

Wengine mtu huyo hatumjui, unapoongelea negatives zake tafadhali weka na evidence za madudu yake kama ambavyo yeye Gambo aliweka evidence za madudu ya Mkurugenzi akaenda na maji.

Kuongea kijumla jumla tu kwamba mtu huyo ni jangili ama ni mbaya siyo sawa, weka vithibitisho hapa.
 
Mi namjua sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…