Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi

Dah!Gambo,Gambo,
Gambo,are you serious?Mtu aliyefanya kosa la kugushi cheti,ambalo lina adhabu kisheria na aliyeiibia serikali apewe kiinua mgongo?Huyu kwanza alipaswa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kugushi na kujipatia fedha kwa njia isiyo halali.Kama hiyo haitoshi Gambo ana suggest kwamba mtu kama huyo awe rewarded tena.For what,kugushi vyeti,kujipatia fedha kwa njia isiyo halali?Ridiculous.

Gambo kama kiongozi alipaswa kujua kwamba anafanya kosa la kutetea wizi na hivyo anamsaidia mtu kufanya kosa, kosa ambalo ni prosecutable by law.

I must be frank,wanaoitwa viongozi wetu weledi na moral standards zao ni very questionable.Kama Gambo anashauri mwizi awe rewarded kwa wizi,yeye mwenyewe utendaji wake si utakuwa very questionable.

Gambo anapaswa kujitathmini kama kweli anafaa kuwepo kwenye utumishi wa uma,in whatever capacity.Very sad.
 
Kama kuna mwanasiasa hajawahi kuiba chochote fedha au kura au kughushi nyaraka yoyote (risiti za manunuzi kwa ajili ya per diem) awe wa kwanza kuwarushia watu wa vyeti feki mawe!
 
Kwa mfano hua si ndio hao tunaowazungumzia wenye vyeti feki? Bado hujajibu huyo mtu aliyekaa darasani halafu cheti sio chake ndio inashangaza,
Daktari au Mwalimu wanakaaje darasani halafu mwisho wa siku vyeti vinakua sio vyao?
 
Ndio 'fojari' hiyo tuisemayo, mtu unarudia darasa la saba mara 7!! Chuoni ataweza kitu kweli.
 
Hasira za nini? Kwani aliyeondolewa kazini ndiye kakunyima kazi. Hata mwendazake alikuwa na mahasira ya kutumbua akijua hakuna atake mkosoa lakini mungu kaongea nae wakamalizana.

Walioitwa wezi wahujumu uchumi bado wapo tu.
Unaunga mkono vyeti feki?

This country has a lot of fools aisee

Unataka huduma Bora kutoka Kwa substandard system

Basi tuachane kabisa na elimu, haina maana yoyote

Punguani kweli wewe
Ungevuta picha wakati ulipozaliwa ukakuta alirmsaidia mama yako wakati unazaliwa ndiye huyo unamtukana namna hiyo utakunywa sumu ya panya au utamfuata mwendazake kwa aibu.

Kumbuka hao unaowatukana ni jirani zako. Ila kuna msemo unasema mdomo unaumba. Ukifurahia msiba kwa mwenzako subiri uje nyumbani kwako, ndipo utajua machozi yanatokea mdomoni au machoni.
 
Unafiki wa watanzania ni wa kiwango cha juu...

Huyu utajiuliza alikua wapi?
 
Potelea mbali.

Usilete ujanja ujanja hapa!

Huwezi kuwa daktari mwenye elimu ya vyeti vya kugundisha kwa gundi.

Unaokota cheti hapa, kesho unaokota kingine kule unabandika na stepla.

HAPANA!
Huko jeshini kuna kila taaluma unayoijua wewe mbugira.

Huko Lugalo unatibu wewe??

Ndege za jeshi unarusha wewe nyumbu??
 
Akamatwe. Yaani ughushi cheti , serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema


Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
Ulichoandika bwege lolote lenye kujua KK laweza! Jaribu kumzidi hata kwa milimita huyo bwege. Tafakuri mufilisi.

Serkali igundue! Nani aliwaajiri? Alitumia vigezo gani? Aliyewaajiri anajulikana? Kawajibishwaje? Kuna walimu wengi walikuwa waalimu kwa vipaji vyao na sio kisomo chao. Wapo wanajeshi wengi tu pia wamekuwa wanajeshi kihivyo. Wapo waliotumia majina ya wasiopenda kusoma na kufaulu kihalali! Sio kila jina feki ni cheti feki. Utaratibu madhubuti ungetumika na adhabu stahiki kwa kila cheti feki.

Hajasema kuwa si sahihi kuondoa vyeti feki. La, hasha. Wewe unasema ukimshika kibaka unamchoma moto! Unajiona sahihi! Ubwegeo huo. Kukurupuka kulitumika. Misuli alitawala Akili.
 
Mpuuzi ni wewe pia.
Unamfahamu Madelu??Bashite n.k?
 
Mpuuzi ni wewe pia.
Unamfahamu Madelu??Bashite n.k?
Zoezi likishabagua makundi ya jamii hilo ni zoezi onevu

Kama kweli unahakiki, hakiki wote, hakiki mapolisi, wajeda, usalama wa Taifa, wanasiasa, yaani kila mtu anayelipwa kwa hela ya mlipa kodi

Siyo unachagua kundi moja halafu mengine unawaacha wanapeta. Huo ni uonevu!
 
Nyie machagadema ni washenzi sana!

Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?

Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?

Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?

Jamani! Aisee...
Walipofukuzwa vyeti feki waliajiriwa vyeti halali wangapi? Tambua nia na sababu za kufurusha vyeti feki. Lengo halikuwa kuwepo na watumishi sahihi wakitoa huduma sahihi kulingana na taaluma zao sahihi. Hapana.
 
Hakuna nchi inayoendelea Kwa anectodals na substandard qualities

Sijatukana MTU nazungumzia reality

I am 50 years old so when is as born tulikua bado na uhaba wa wataalam

But that never justifies kukubali magumashi... Tunalalamika Sana tukiibiwa tunasahau hata cheti feki ni wizi wa elimu
 
Huwezi kuwa mwizi wa kura ukaenda kunyooshea vidole wezi wa vyeti

Lazima tutafute muafaka wa kitaifa katika vyote hivyo viwili
 

Very shoddy assumption
 
Kuna ka ukweli hapa. Maana waliajiriwa kwa vyeti vya taaluma na sio ajira ya cheti cha kidato cha nne.
Unamfukuza professor aliyekaa darasani kisa tofauti ya herufi ya jina au alipoteza cheti cha form four kweli.
 
Leo anadiriki kusema serikali ilikurupuka.....hoja yake Ni nzuri Ila alikuwa Ni sehemu ya waliokipa nguvu kwa kumuimbia mtekelezaji azidi kuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…