Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.

Imekuuma Nini. Wewe si ndo unataka katiba ifuatwe. Sasa Ukiwa na vyeti Fake. Passport fake kwenye utawala wa kidemokrasia wa kimarekani na Chadema mngefanyaje. Wewe ndo uko hell na utaendelea kuwa hell.
 
In the line of full complicated with hypocracy.[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mwendazake aliamua kumridhisha bashite baada ya kunangwa sakata la vyeti akaamua kuwalipizia visasi watumishi, pindi uswahiba umepamba moto kabla ya ndumba kuexpire na kupelekea uswahiba kufa na kumtosa mwanae kipenzi.
 
Back
Top Bottom