Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.

Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.

Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Umesema ukweli, hali mbaya
 
Kuna jinga moja jizi la vyeti linaitwa erythrocytes linatetea

The name itself is scarier,, an important cell in the body unabariki vyeti feki


Jamaa seemed to be smart, until I e knew ana vyeti feki
Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
 
CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.

Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.

Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
[emoji15][emoji15][emoji15]Du!!! Ama kweli CCM ni ileile ya "NDUMILA KUWILI"

Kule kwetu Unyanyembe "NDUMILA KUWILI" ni yule "NYOKA" mwenye vichwa viwili

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Gambo Huyuhuyu aliekua Mkuu wa mkoa Arusha ama kweli tutaona na kisikia mengi ya kustaajabisha ...

JIWE, MAGU, KIONGOZI WA MALAIKA, JPM, .MWENDAZAKE, HAYATI nimekwita kwa majina yako kama unanisikia wallahi natamani ufufuke uje ujionee na kusikia jinsi wanao wanavyokugeuka huku hata arobaini bado!!!

Above all wooote wageuke hata wewe GAMBO!!! CCM mmetisha kwa unafiki wa kiwango cha juu

Haya sasa tumsubiri JERI MURO, OLE SABAYA na MAKONDA jinsi na wao watakavyopiga Uturn!!!
 
Ule mchakato ata kama ulikua na nia njema haukufanywa kwa weledi ndio maana uliumiza wengi na kuishia kua sehemu ya rushwa kwa baadhi ya watu.kuna baadhi ya maafisa kazi na tawala waligeuza mchakato kua fursa yakuneemeka ipasavyo.
 
Upo sahihi kabisa, kama kaweza kujitenga na Magu kiasi hiki, wakt na yy alikuwa akifanya mambo ya kijinga jimboni kwake ili kumfurahisha mzee baba, huyu ni mnafk wa standard gauge, hata mama kesho atamkgeuka..

duh aisee...
basi aanze yeye mrisho gambo kuomba radhi na wale aliowatendea siyo, ijapo alicho kisema yupo sahihi kuhusu waliopigwa chini, ila naye alikuwa muovu kwa level ya anaye mkana leo

..mbona magu hakuomba radhi kwa kuunga mkono wizi na ufisadi wa wakati wa BNM na JK?
 
Waliobomolewa nyumba zao walipwe fidia.
Waliofukuzwa vyeti warejeshewe au walipwe chao maana walitoa nguvu zao kutumika.
Wa bureau de change warejeshewe pesa zao
Waliobomolewa nyumba zao Kimara/Mbezi waangaliwe kwa jicho la huruma. Mita 122. 5 kila upande zinatisha. Kama ingekuwa ni vijiji huko mikoani, vijiji vingi zaidi ya 100 VINGEFUTIKA KWENYE RAMANI YA TANZANIA
 
Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.

Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.

Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.

Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.

Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?k

Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.

Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.

Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.

Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.

Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?
Hakuwa sahihi kabisa. Angekuwa sahihi Kama angewakamta waliowaajiri.

Kwani kuna serikali nyingine ambayo ilishawai kushika madaraka zaidi ya ccm?

Embu jiulize Kama kulikuwa na wasomi Hawa watu waliingia je kwenye ajira wakati walikuwa wanaanzia ngazi ya juu?

Hapa serikali ilikurupuka aliyestahili kupewa adhabu ni yule aliyemwajiri.

Naunga mkono Hawa watu warudishwe au wapewa stahiki zao.

Ila innaonyesha wewe unaishi porini huishi na Jamii.
 
Waliobomolewa nyumba zao Kimara/Mbezi waangaliwe kwa jicho la huruma. Mita 122. 5 kila upande zinatisha. Kama ingekuwa ni vijiji huko mikoani, vijiji vingi zaidi ya 100 VINGEFUTIKA KWENYE RAMANI YA TANZANIA
Ilikuwa ni chuki tu na chuki inauwa
 
Na yeye atakuwa na vyeti feki. Kwanza wanatakiwa washukuru kuwa hawajafunguliwa mashtaka
Wanatakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa na serikali kama mishahara nk na wafunguliwe kesi ya wizi na uhujumu uchumi yaani gambo anatetea wezi aiisee.Hawa waliwanyima haki ya kuajiriwa watu wenye sifa zao wakes as a babushka mateso makubwa na familia zao.Nashukuru wabunge hawakumpigia makofi walikuwa wanamshangaa tu.Ana upeo mdogo sana Wa uelewa
 
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi


Naungana na Mrisho Gambo kwa mara ya kwanza katika historia. Zoezi la vyeti feki halikuwa na tija kwa nchi yetu. Tuliwalenga wenye vyeti vya F4 na ambao ni wafanyakazi wa kawaida. Tukawaacha wanasiasa kama wafuatao;
1. Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD itokanayo na andiko la kuigiliza
2. Daudi Bashite aliyejiita Paul Makonda
3. Said Bagaile aliyejiita Hamis Kigwangala
4. Lameck Madelu aliyejiita Mwigulu Nchemba

Huu ubaguzi ni moja ya dhambi kubwa ambazo Mwendazake ALIMKASIRISHA Mungu
 
Back
Top Bottom