Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
HIV walitumia vigezo gani kuwaakuri na wakatumia vigezo gani kuwagundua?Wanatakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa na serikali kama mishahara nk na wafunguliwe kesi ya wizi na uhujumu uchumi yaani gambo anatetea wezi aiisee.Hawa waliwanyima haki ya kuajiriwa watu wenye sifa zao wakes as a babushka mateso makubwa na familia zao.Nashukuru wabunge hawakumpigia makofi walikuwa wanamshangaa tu.Ana upeo mdogo sana Wa uelewa
Wewe unawatukana Hawa watu lakini ukipata akili utagundua aliyekuwa na kosa ni nani.
Basi serikali haikuwa makini wakati wa kuajiri. Inatakiwa ikubali na iwaombe radhi kwa kuwadhalilisha.
Kwanza serikali ilijidhalilisha sana kujivua nguo kwa wananchi wake na kuwaonyesha ajira zinavyofanyika.