Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Nadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Africa , hata Idd Amini hafiki , laana kubwa sana !
Nyie machagadema ni washenzi sana!

Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?

Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?

Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?

Jamani! Aisee...
 
Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.

Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.

Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.

Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.

Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?
 
Ingawa siungi mkono asilani watu kupata ajira au jambo lolote kwa udanganyifu, ila kiukweli CCM wanastahili kulipa kisiasa kwa gharama kubwa sana maovu yote waliyoyatenda na huu unafiki wanaoufanya sasa ni kutia chumvi katika kidonda.

Wametuchezea Watanzania vya kutosha.
 
Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.

Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.

Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.

Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.

Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?
Nchi nyingine ukidanganya hata kwenye mtihani mmoja unafutiwa vyeti vyako vyote kiasi labda uanze upya kusoma. Hata private sector huajiliwi. Sasa hawa vilaza wetu wa madesa wanadhani forgery inampa mtu credit... No, siyo kwenye elimu. Mdanganye kulipa kodi bila shiruti na mengine, ila kwenye elimu km tukiwagundua (mimi siyo mtoa hukumu) you will be disqualified.
 
Nilikua simpendi Magu ila kwa hili nimeumia.

Upo sahihi kabisa, kama kaweza kujitenga na Magu kiasi hiki, wakt na yy alikuwa akifanya mambo ya kijinga jimboni kwake ili kumfurahisha mzee baba, huyu ni mnafk wa standard gauge, hata mama kesho atamkgeuka..

duh aisee...
basi aanze yeye mrisho gambo kuomba radhi na wale aliowatendea siyo, ijapo alicho kisema yupo sahihi kuhusu waliopigwa chini, ila naye alikuwa muovu kwa level ya anaye mkana leo
 
baada ya unyama ule aliajiri wangapi ?
Dude

How stupid can you be

Unabariki fraud?

I thought you were intelligent

Kumbe na wewe ni fraud worshiper

Mwizi wa cheti, pesa, haki na hata ideas ni mwizi Tu

Vyeti feki ni wezi wa taaluma na matapeli wa weledi

And you are one of them

Btw, why did you gorge your certificates?
 
Nchi nyingine ukidanganya hata kwenye mtihani mmoja unafutiwa vyeti vyako vyote kiasi labda uanze upya kusoma. Hata private sector huajiliwi. Sasa hawa vilaza wetu wa madesa wanadhani forgery inampa mtu credit... No, siyo kwenye elimu. Mdanganye kulipa kodi bila shiruti na mengine, ila kwenye elimu km tukiwagundua (mimi siyo mtoa hukumu) you will be disqualified.
Kuna jinga moja jizi la vyeti linaitwa erythrocytes linatetea

The name itself is scarier, an important cell in the body unabariki vyeti feki

Jamaa seemed to be smart, until I knew ana vyeti feki
 
Back
Top Bottom