Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Nyie machagadema ni washenzi sana!Nadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Africa , hata Idd Amini hafiki , laana kubwa sana !
Wenzetu akina NaniVyeti sio taaluma.wenzetu walishatoka kwenye kuangalia vyeti
Siko serikalini but nimeajiri 50 people and the key to me hiring people ni vyetiSijawahi kuomba kazi kwenye serikali yenu
Baada ya unyama ule aliajiri wangapi?Nyie machagadema ni washenzi sana!
Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?
Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?
Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?
Jamani! Aisee...
Hivi hoja ya Gambo umeielewa? Hebu msikilize kwanzaSiko serikalini but nimeajiri 50 people and the key to me hiring people ni vyeti
Haya tuchukulie waliondolewa kihalali, haya baada ya hapo waliajiriwa wangapi kuziba pengo?Unyama upi?
Kuna unyama zaidi ya kufoji vyeti na kufanya udanganyifu?
Chadema nyumbu sana!
Imeandikwa Muuaji atakataliwa Duniani na Mbinguni tena na watu wake wa kariku.Hayati atabaki hana rafiki huko aliko na hapa duniani.
Ongezea na PhD fake ya Maganda ya Korosho.So mkuu CHadema Inasemaje. Passport fake. Vyeti fake iwe no kosa. Upite tu kuvuka border.
Wahusika wa vyeti feki au? Vipi kuhusu walio na vyeti original lakini ajira zikashikwa na wenye vyeti fekil? Nani atawafuta machozi? Pathetic... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.
Nchi nyingine ukidanganya hata kwenye mtihani mmoja unafutiwa vyeti vyako vyote kiasi labda uanze upya kusoma. Hata private sector huajiliwi. Sasa hawa vilaza wetu wa madesa wanadhani forgery inampa mtu credit... No, siyo kwenye elimu. Mdanganye kulipa kodi bila shiruti na mengine, ila kwenye elimu km tukiwagundua (mimi siyo mtoa hukumu) you will be disqualified.Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.
Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.
Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.
Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.
Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?
Nilikua simpendi Magu ila kwa hili nimeumia.
Mungu atamlipa kwa ujiraHayati atabaki hana rafiki huko aliko na hapa duniani.
I clearly understood himhivi hoja ya Gambo umeielewa ? hebu msikilize kwanza
Dudebaada ya unyama ule aliajiri wangapi ?
Kuna jinga moja jizi la vyeti linaitwa erythrocytes linateteaNchi nyingine ukidanganya hata kwenye mtihani mmoja unafutiwa vyeti vyako vyote kiasi labda uanze upya kusoma. Hata private sector huajiliwi. Sasa hawa vilaza wetu wa madesa wanadhani forgery inampa mtu credit... No, siyo kwenye elimu. Mdanganye kulipa kodi bila shiruti na mengine, ila kwenye elimu km tukiwagundua (mimi siyo mtoa hukumu) you will be disqualified.