Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Ndo keshararisha uuzwaji wa bandari
Kivipi?
Zuhura amepwaya kwakeli hii ndio shida ya kuokoteleza watu, dr Abbas asingekubali haya mambo ya hovyo
 
Zuhura yunus hebu atoke ikulu maramoja vinginevyo tutaandamana, haiwezekani kualika ikulu wavutabangi na kuanza kutukana watu,

Hata ukaaji tu haukufuata protocal Fr Kitima alipaswa kukaa meza moja na wachungaji na mashekh nasio kukaa na akina zitto, yaano protocal zero
 
shuleni risala ya wanafunzi hupitiwa na uongozi wa shule na msomaji hakuruhusiwa kiongeza maneno yake, sasa iweje ikulu mtu aanze kuongea mipasho mbele ya kadamnasi na kushusha heshima za watu.

Zuhura yunus na mkuu wa protocal wa ikulu wanapaswa kuondolewa maramoja, hata ukaaji ukumbini haukufuta utaratibu.
 

Kwa kweli!
 
Kitima alostahili kudhihakiwa.
1. Anaendeleza mfumo wa wakatoliki kujiona wao ni raia daraja la kwanza.
2. Anaendeleza ushenzi wao wa kuzusha,kukejeli na kumpiga vita raisi yeyote aliyepo madarakani,ilimradi ni muislamu.
3. Kujiona wao wakatoliki wanaelimu na wajuaji kuliko wengine wote. Wakati ukweli wamesonga ila hawakuelimika.

Hayo yote yamepelekea kuwa na kiburi,dharau na majivuno
 
Wewe unawaogopa wakatoliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…