Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Anhaa kwahiyo marehemu ndiyo aliyeanza kumfanyia hujuma mwenzake kisa kagoma kutumiwa ?
 
Povu la kupigia choo deki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli mjomba Mpoto; marehemu huwa hana kinyongo tena

Ruge kawanyanyua wasanii wote wa Tanzania walioibukia miaka ya hadi 2015. Lakini wengine wao, hasa Diamond, baada ya kufika juu wakaanza mbwembwe kwa kumfanyia maringo na kumtupia matusi. Hata leo hii mtu unaposikia Diamond anaandaa Festival, ni kwa sababu anakopi Fiesta iliyoasisiwa na Ruge. Diamond connection yake na Davido ilitokana na Fiesta ya mwaka 2013 au 2014 hivi ndipo ile kolabo yao ikamtoa. Baada ya kutoka, akatupa matusi kwa Davido na kwa Ruge: kazi kweli kweli; Wahenga walisema tenda wema nenda zako usingoje shukurani.
 
Mbona Hitler na idi amin hawajaachwa salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo wanafiki sana.Huyu Ruge ndie alieataka kuua kipaji cha Diamond.Sasa unataka aende kulia msibani kwa lipi?Ndiye huyo aliyepiga stop kitu chochote kinachohusiana na Diamond kisisikike Clouds.Mbona watu hawamsemi Lady jaydee.Wamemshupalia Jamaa.But the good thing anawajua wabongo.And his playing smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…