Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Ili mrisho aseme kasikilizwa ...JAMII ITAFARIJIKA SANA IKIMUONA KIJANA WETU MPENDWA akiitikia wito
Kwani msiba si upo bado kwa siku kadhaa? Kuna leo, kuna kesho, pia kuna Bukoba. Hivi ni lazima uhudhurie siku zote? Wewe na Mpoto mmejuaje kama Diamond hataenda msibani leo, kesho au keshokutwa?Kiukweli anapaswa aende tu kwenye msiba... Asahau hayo ya nyuma...
Alikiba jux Vanessa mdee sheta na hao wote hawajaenda na hakuna anaejali... Lady jaydee hajapost chchte hakuna anaemtukana... Hao wote wamepita kweny mikono ya ruge..! Diamond tu ndo anaesakamwa na kuchonganishwa.. Hapo mwili bado haujazikwa.. imewekwa taswira kanakwamba diamond kafurahia kifo cha ruge which is not true..! Watu wanagomban lakin hawaombeani vifohuyu dogo ni fala, nilikuwa upande wake lakini naona sasa nibadilishe mtazamo kwake nilikuwa rong.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui tulilogwa au mfumo elimu ndio shida hata sielewi
Hajafundishwa kukaa kimyaPekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Shangaa wewe...Ukimwadithia mtu mambo yanayotokea bongo anaweza asiamini! ujinga ujinga tuWhy diamond?
Watanzania jifunzeni kuheshimu utashi wa mtu.
Kuna mtu pia anakushangaa wewe unayetoka povu kuhusu Diamond ila kaamua kuheshimu utashi wako na kukaa kimya wa kwa nini unataka Diamond apost au aende ktk mazishi ya Ruge.
Diamond ndio nani hasa hata mimi sielewi kabisa. ..Hata wasanii wangesusa kuzika bado ruge atazikwa tuKwani asipoenda huyo chibu,ruge hatozikwa?? Kwanza yeye ni nani kwenye huo msiba,anaongeza au kupunguza nini??
Aahh,.wabongo tunaboa sometimes...!!!
Bila kujali ugomvi wao ni nini ila Ruge ana mchango (roughly 80%) kwenye mafanikio ya Diamond..Alimshape,baadhi ya nyimbo kama Mawazo,nitarejea n.k alichangia mawazo katika kuandika..Show kubwa ya kwanza ya Diamond pale mlimani city (Diamonds are forever) organizer alikuwa Ruge,mchango mkubwa aliutoa Ruge,venue Ruge n.k, Zari all White Party ya Dar lilikuwa wazo la Ruge na ndiyo alikuwa big contributor (Sasa hapa dogo akataka wagawane pasu kwa pasu wakati aliyefanya investiment kubwa ni Ruge.
Dogo kwenye fiesta akawa anataka alipwe ten million (which is not bad kutokana na hadhi yake) but kiuhalisia angelipwa yeye peke yake 10 mil hapo bado wasanii wengine hawajalipwa,bado per diems zao,transport,bima,maandalizi ya venue,jukwaa na security,matangazo n.k na na wenye show wapate faida si ni hatari hiyo?Angeweza kuchukua 10mil kwa baadhi ya mikoa ila huwezi kukomaa kulipwa 10mil Musoma au Sumbawanga wakati entrance fee yao tu huwa inashushwa..may be kwa Dsm,Mwanza na Chuga angweza kudemand hiyo..na hiyo ndo source ya Ugomvi wao Dai akaona kama vile Ruge anambania wakati macollabo makubwa makubwa ya nje Ruge ndo alikuwa anamconnect na baadhi Ay...#okbye
Hizi ni tabia za kike. Kwanini mnapenda kulazimisha watu mambo ambayo hawataki kufanya ilikufurahisha jamii.