joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Angempigia simu ingekuwa bora zaidi.Pekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Mpoto kumbe nae wa hovyo. Kylikuwa na haja ya kuandika ktk mitandao ya kijamii? Angempigia tu simu kama alimaanisha. Sasa hivi akija kila mtu aseme sababu ya mpoto mdio kaja?
Hili povu linatokana na nini ?Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri
Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)
Sent using Jamii Forums mobile app
Why diamond?Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri
Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)
Sent using Jamii Forums mobile app
Why diamond?
Watanzania jifunzeni kuheshimu utashi wa mtu.
Kuna mtu pia anakushangaa wewe unayetoka povu kuhusu Diamond ila kaamua kuheshimu utashi wako na kukaa kimya wa kwa nini unataka Diamond apost au aende ktk mazishi ya Ruge.
Kwa Nini Diamond na sio komando Jide?Pekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Kwa Nini Diamond na sio komando Jide??Pekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Hili povu linatokana na nini ?
wivu ?
hasira ?
husuda ?
dalili za kuwa mchawi ?
Watanzania mjifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu, kwa kuwa wewe una mahaba na mtu fulani basi mnataka kila mtu afuate njia zenu.