joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Huu unafiki,una namba yake unayo kwa nini usimpigie? Ujue watanzania tuna upuuzi wa kuona instagram ndio kila kitu ,mtu una muheshimu kama mdogo wako ,kwa nini usimpigie simu?
Yaani wasanii wapuuzi ndio maana hawaheshimiwi hata na Basata kwani nao hata matamko na vikao vyao wanatoa kupitia Instagram,bila kuwapa nakala za barua au kuwapigia simu, kwa nini usimwambie mtu ana kwa ana ukikuona ataona uzito,alafu hatokuwa na sababu ya kukataa.
Haya what if Mondi akisema hajaona post yako utamlaumu.Mpoto nae nilimuona ana akili kumbe hovyo tu.