Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Huu unafiki,una namba yake unayo kwa nini usimpigie? Ujue watanzania tuna upuuzi wa kuona instagram ndio kila kitu ,mtu una muheshimu kama mdogo wako ,kwa nini usimpigie simu?

Yaani wasanii wapuuzi ndio maana hawaheshimiwi hata na Basata kwani nao hata matamko na vikao vyao wanatoa kupitia Instagram,bila kuwapa nakala za barua au kuwapigia simu, kwa nini usimwambie mtu ana kwa ana ukikuona ataona uzito,alafu hatokuwa na sababu ya kukataa.

Haya what if Mondi akisema hajaona post yako utamlaumu.Mpoto nae nilimuona ana akili kumbe hovyo tu.
 
Kutafuta kuongelewa tu,kwani kashindwa kumpigia simu,kumfuata kwake,studio. Diamond ndo haendi kabisa,kama baba yake mzazi anaoza miguu na hajaenda kumwona,itakuwa Ruge waliokutana nae katika harakati za kutoka kimziki?
 
Msiba ni kuguswa kama hajaguswa hata akienda itakuwa ameenda kwa ajili ya kuwaridhisha watu na kuwafurahisha kuwa amefika ila si kwa ajili ya Ibada na ubinadamu..kimsingi hatupaswi kufanya mambo sababu ya kuwafurahisha watu fulani hata kama hatuoni mantiki yoyote personal..kila mmoja ana namna yake ya kuView kutathimini mambo..kile unachoona ww ni sahihi kwako kwa mwingine ni tofauti so embu tusiwe Majudge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugomvi wa WCB na CLOUDS ni zaidi ya biashara ni PERSONAL!! sitashangaa asipoenda, mtu akikukwamisha kimaisha kwa kukunyima airtime ya bidhaa(nyimbo) yako anakuua kibiashara maana anakutakia kifo cha kimwili au uwe ombaomba maisha yako yote, kwanini we ujifanye mnafiki anapoondoka huyo mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandano ya kijamii pamoja na kuwa ni njia kuu ya kuhabarisha kwa wakati, ila imekuwa inatumika vibaya sana hasa hapa Tanzania, upotoshaji, kejeli na matusi ndio mambo makuu unayoweza ona kwenye page nyingi.

Ukweli ni kuwa kuna maisha halisi nyuma ya hii mitandao, si kila tunachosoma au kuona ni halisi, mfano kwenye ishu ya msanii Diamond kwa sasa, sehemu kubwa watu tuna muhukumu kwa maelezo mengi tusiyokuwa na taarifa nazo sahihi, tumekariri kwamba ange-post kuhusu msiba ndio tungeona ameshiriki.

Je nje ya tunachosubiri kuona kwenye kuta zake za mitandao tunajua mengine yanayoendelea? wengi hatujui, inawezekana walishamaliza tofauti zao, pia hautujui.
 
Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri

Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)


Sent using Jamii Forums mobile app
Hili povu linatokana na nini ?
wivu ?
hasira ?
husuda ?
dalili za kuwa mchawi ?


Watanzania mjifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu, kwa kuwa wewe una mahaba na mtu fulani basi mnataka kila mtu afuate njia zenu.
 
Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri

Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)


Sent using Jamii Forums mobile app
Why diamond?
Watanzania jifunzeni kuheshimu utashi wa mtu.
Kuna mtu pia anakushangaa wewe unayetoka povu kuhusu Diamond ila kaamua kuheshimu utashi wako na kukaa kimya wa kwa nini unataka Diamond apost au aende ktk mazishi ya Ruge.
 
Wala sijamtaka aende

Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!

Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki

Nadhani tumeelewana
Why diamond?
Watanzania jifunzeni kuheshimu utashi wa mtu.
Kuna mtu pia anakushangaa wewe unayetoka povu kuhusu Diamond ila kaamua kuheshimu utashi wako na kukaa kimya wa kwa nini unataka Diamond apost au aende ktk mazishi ya Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom