Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Hivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??

Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu kawapasha ukweli ukatae tume ya haki dhidi ya marehemu halafu .....unafiki mtupu
 
Kama hiyo ni post ya Mpoto.

Basi nimejiridhisha pasi na shaka kuwa nyimbo zake zote huwa kuna mtu anamtungia, yeye kazi yake kubwa ni kumeza na kuyaongea na sio kuimba.
Hahaha
 
Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.

Umaarufu una gharama zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometime hata kama una chuki na mtu angalia pia na maneno ya kuongea mkuu,,,afu si jambo jema hata kidogo kumdhalilisha mama wa mwenzio tena kwa kitu ambacho huna uhakika,umesikia tu kwa mtu ambaye naye amesikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugomvi wa WCB na CLOUDS ni zaidi ya biashara ni PERSONAL!! sitashangaa asipoenda, mtu akikukwamisha kimaisha kwa kukunyima airtime ya bidhaa(nyimbo) yako anakuua kibiashara maana anakutakia kifo cha kimwili au uwe ombaomba maisha yako yote, kwanini we ujifanye mnafiki anapoondoka huyo mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
na wengibwasichojua ni kwamba mtu aliye dhamiria kuua career yako huyo ni zaidi ya mchawi,mana yake anataka ufe wewe na kizazi chako kinachokutegemea kwa mlo wa kila siku....
 
Jide ameshafika? Ila diamond ana damu ya kunguni sana hapo anaonekana yeye tu. Siku hizi mpaka misiba mtu anakaa ana angalia nani kapost na nani kafika mitandao ya kijamii inatupeleka wapi.
Mpoto ni mnafki wa kiwango cha chato airport
Hahahahaaa hapo ameamua kumchongea diamond
 
Back
Top Bottom