Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

La kwana, masharti ya nyota yanakataa.
La pili, mtu asiyemjali baba yake, atajali kipi!
 
Hii ni kweli mjomba Mpoto; marehemu huwa hana kinyongo tena

Ruge kawanyanyua wasanii wote wa Tanzania walioibukia miaka ya hadi 2015. Lakini wengine wao, hasa Diamond, baada ya kufika juu wakaanza mbwembwe kwa kumfanyia maringo na kumtupia matusi. Hata leo hii mtu unaposikia Diamond anaandaa Festival, ni kwa sababu anakopi Fiesta iliyoasisiwa na Ruge. Diamond connection yake na Davido ilitokana na Fiesta ya mwaka 2013 au 2014 hivi ndipo ile kolabo yao ikamtoa. Baada ya kutoka, akatupa matusi kwa Davido na kwa Ruge: kazi kweli kweli; Wahenga walisema tenda wema nenda zako usingoje shukurani.
Usilo lijua ni sawa na usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii post ya Mpoto imelenga kutafuta umaarufu kupitia mtandao tu, sidhani kama ilikuwa na ulazima wa kumkumbusha kwa kupost hapo... Hata ungempigia simu, kwani naamini anazo namba zake.

Hajakumbusha anatafuta followers kinguvu
 
Basi Mpoto kaona kazungumza Jambo la maana sana , kwani kwenda msibani imekuwa Jambo la maana sana kuliko kuchangia matibabu? Diamond asipofika msibani Ruge hatozikwa?

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Suala la kwenda msiban n jambo la mtu mwenyew. Sidhan ka mpoto yupo sahiii
 
JAMII yako kwa maana ya familia na ukoo wako labda.

sio kila mtu anamfagilia marehemu

amekufa hapigi nyimbo ya diamond

vi employee vyake pale anavi raise ili avile nyama

watu wanalazimishwa kukubali madili ya laki mbili

leo afe tuseme ni msiba wa kitaifa, kwa lipi?
TOP 20 YA CLOUDS YA KUFUNGIA MWAKA ETI KIOKOTE IMESHIKA NAMBA MOJA KHAAAAA!!!! NA HAKUNA WIMBO HATA MMOJA TOKA WCB???
WAKATI REDIO ZOOOTE NCHINI NA NCHI JIRANI NDAN YA NGOMA 10 6 AU 7 ZIMETOKA WCB. CHUKI YAO ILIKUA YA WAZI SAAANA HUYO MPOTO ANGEWASHAURI CLOUDS WAAACHE BIFU LA WAZI SIO KUIBUKA SASA NA NASAHA ZAKE. AKAOGE AVAE VIATU AENDE MSIBANI,

NAHAKIKA HATA BIFU YA RUGE NA MAKONDA HAIKUISHA BAADA YA KUPEANA MIKONO KULE TANGA JUKWAANI, ILIENDELEA CHINICHINI, MTU AMBAYE ANATAKA KUABUDIWA NA KILA MTU WA NINI??? AWEKWE MAHALI ALIPOJIANDALIA AKIWA HAI.
 
Bila kujali ugomvi wao ni nini ila Ruge ana mchango (roughly 80%) kwenye mafanikio ya Diamond..Alimshape,baadhi ya nyimbo kama Mawazo,nitarejea n.k alichangia mawazo katika kuandika..Show kubwa ya kwanza ya Diamond pale mlimani city (Diamonds are forever) organizer alikuwa Ruge,mchango mkubwa aliutoa Ruge,venue Ruge n.k, Zari all White Party ya Dar lilikuwa wazo la Ruge na ndiyo alikuwa big contributor (Sasa hapa dogo akataka wagawane pasu kwa pasu wakati aliyefanya investiment kubwa ni Ruge.
Dogo kwenye fiesta akawa anataka alipwe ten million (which is not bad kutokana na hadhi yake) but kiuhalisia angelipwa yeye peke yake 10 mil hapo bado wasanii wengine hawajalipwa,bado per diems zao,transport,bima,maandalizi ya venue,jukwaa na security,matangazo n.k na na wenye show wapate faida si ni hatari hiyo?Angeweza kuchukua 10mil kwa baadhi ya mikoa ila huwezi kukomaa kulipwa 10mil Musoma au Sumbawanga wakati entrance fee yao tu huwa inashushwa..may be kwa Dsm,Mwanza na Chuga angweza kudemand hiyo..na hiyo ndo source ya Ugomvi wao Dai akaona kama vile Ruge anambania wakati macollabo makubwa makubwa ya nje Ruge ndo alikuwa anamconnect na baadhi Ay...#okbye
 
umeandika pumba roughly 95%
 
Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema

Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..

Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..

Mwisho wa siku atajiju..
Mtamzika tu hata iweje, labda afe kama mzee kipara
 
Bila kujali ugomvi wao ni nini ila Ruge ana mchango (roughly 80%) kwenye mafanikio ya Diamond..Alimshape,baadhi ya nyimbo kama Mawazo,nitarejea n.k alichangia mawazo katika kuandika..Show kubwa ya kwanza ya Diamond pale mlimani city (Diamonds are forever) organizer alikuwa Ruge,mchango mkubwa aliutoa Ruge,venue Ruge n.k, Zari all White Party ya Dar lilikuwa wazo la Ruge na ndiyo alikuwa big contributor (Sasa hapa dogo akataka wagawane pasu kwa pasu wakati aliyefanya investiment kubwa ni Ruge.
Dogo kwenye fiesta akawa anataka alipwe ten million (which is not bad kutokana na hadhi yake) but kiuhalisia angelipwa yeye peke yake 10 mil hapo bado wasanii wengine hawajalipwa,bado per diems zao,transport,bima,maandalizi ya venue,jukwaa na security,matangazo n.k na na wenye show wapate faida si ni hatari hiyo?Angeweza kuchukua 10mil kwa baadhi ya mikoa ila huwezi kukomaa kulipwa 10mil Musoma au Sumbawanga wakati entrance fee yao tu huwa inashushwa..may be kwa Dsm,Mwanza na Chuga angweza kudemand hiyo..na hiyo ndo source ya Ugomvi wao Dai akaona kama vile Ruge anambania wakati macollabo makubwa makubwa ya nje Ruge ndo alikuwa anamconnect na baadhi Ay...#okbye

Kwanza mtu aliyemshape Diamond kuimba ni Bob Junior pekee,hit zote za kwanza zimetengenezwa na Bob Junior na kama hujui Mondi alifukuzwa THT wakamwambia hana kipaji (sikiliza interview ya Mwasiti).

Mchango hauna maana ikiwa unataka kumpoteza uliyemsaidia kisa amekataa kukubaliana na matakwa yako,hata mbele za Mungu huo si msaada bali unataka kumkandamiza.

Kwenye haya matamasha unajua Mondi alipata shiling ngapi ktk mgao? Kufanya investment sawa sasa jiulize kwa nini alimchagua Mondi na si msanii wa THT?

Ndugu maisha kila mtu ana thamani yake ,usitake wote wawe sawa na kila mmoja ana gharama zake ,Mondi ana haki kusimamia msimamo wake sbabu mziki ni biashara yake..

Collabo zote hamna hata collabo moja aliyoisimamia Ruge,kama kweli yy kamuunganishia kolabo mbona anashindwa kuwaunganishia wasanii wake wa THT ?

Ktk mahojiano ya GPL Sallam alihojiwa alisema yy alikuwa agent wa Davido kwa EA na ndiye aliyesababisha collabo la Mondi na Davido na hata CMG walipitia kwa Sallam kumleta Davido.
Huyu Sallam kumbe ndio kila kitu kwa Diamond - JamiiForums

Collabo yake ya Rick Ross aliipata sababu wote ni mabalozi wa kinywaji cha Belaire ndio maana ikawa rahisi na sasa hivi kuna kolabo la Lil wyne sababu ,Sallam na D wote wanapost sana na kutangaza kinywaji cha BUMBU ambacho Lili wyne balozi wake.
 
Hivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??

Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahsante sana carcinoma - Unafiki ni tabia inayofanana sana na Uchawi!!!!
 
Uzuri wa Tanzania mambo yetu yote yapo sosho network...Ruge alianzia kuumwa sosho network,Msiba wake Mkuu wa nchi alitweet huko sosho network.Na pia sio mbaya bwana Mrisho Mpoto kutumia sosho network kumwita aje msibani maana ndio namna yetu ya kuwasiliana kwa sasa. Siku hizi hata jambo la siri vipi mtu anakusosho insta..muda sijui wa kupigiana simu nani anao..wengi hapa tunaomboleza nyuma ya keyboard na sosho network.WCB wote kwa sasa wanapatikana sosho network ndiko huko tunawapata ...Mpoto katimiza wajibu tu ambao yeye kaona sahihi.
Watu huwa wanakanukuu haya mambo..wasione mashabiki na viewers weeeengi wakajua kuwa tayari wamemaliza hilo jambo..vijana haya maisha unaishi kwa akili sana.Watakuja kukosa hata panadol huko mbeleni upepo ukibadilika angani.Hasa upepo wa sosho network..huko ndiko source ya haya yoote.Wacheze na akili za kisosho network ...
Mtu anakutumia leo kesho ukikosea kitu kidogo tu na umri wako ama matendo yako hasa kwa wasanii ni rahisi sana kutemwa kama BG..Maisha ya ki celebrity bila humanity hahaha...wasisahau saana waliangalie hilo jambo kwa mapana zaidi.Wasitufurahishe sisi watu wa Sosho....wazitazame familia zao na watoto wao jinsi watavyopita kwenye haya maisha huko mbeleni.Tupunguze vibri...majivuno na dharau.
 
Kwani mpoto ni mwanafamilia wa ruge mpaka anaanza kualika watu msibani!?....labda wanafamilia hawataki mond ahudhurie
 
Back
Top Bottom