Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Twende specific... Task Force za ujambazi zimeanza wakati wa Mkapa. Ujambazi kuwa mwingi wakati wa Mkapa ulikuwa na sababu, kulikuwa na wakimbizi karibu 1mil na silaha nzito... sisi tulikuwa tunakaa nyanda za juu kusini tunaelewa. Lakini msingi wa Task Force ulianza na Mkapa. Wakati Kasusula anakatwa 2001, alikamatwa na Task Force huko Mbeya.

Either way... huwezi kumfananisha Mkapa na hawa waliofuatia kuhusu utendaji.
 
Kuna Movie inaitwa "Mindhunters". Inazungumzia athari za kufiwa. Hasa na Mke.
 
Akili iko peku kama miguu yake!
 
Tujaribu kwenda systematic na tujiulizekwanza Wasafi FM Ni radio ya Nani? Baadae tuendelee na ungaunga
 
Uwezo wake wa kujua mambo n finyu sana. Hajui maana ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini. Hujui maana ya raisi na kiongoz wa nchi. Hajui nguvu ya CCM na sauti ya mwenyekiti taifa. Hajui hata umuhimu wa uhai kwa mwanadamu ukiringanisha na huduma asemazo
 
Ujambazi ulikubuhu kipindi cha mkapa ikisemwa kuna mkuu wa chombo cha ulinzi na usalama akihusika,kasusura hakuhitaji task force bali issue kama ya ubungo ndizo zikihitaji task force,na epicenter ya ujambazi ilikua kahama na hapo task force waliweka kituo
Mkapa hakuwa na uhodari wowote wa utendaji,labda ufisadi
 
Kasusura hakuhitaji task force? Mtu kaiba 2mil usd na ni mlinzi unadhani wangeenda kimchezo. Anyways, task force zilianza na Mkapa, Kikwete alileta polisi jamii
 
Kasusura hakuhitaji task force? Mtu kaiba 2mil usd na ni mlinzi unadhani wangeenda kimchezo. Anyways, task force zilianza na Mkapa, Kikwete alileta polisi jamii
Sasa isolated case ya kasusura uunde task force,cid inafanya nini!?
 
Nchi imejaa watu maradufu wajingaaa wanaotafuta utajiri kwakulamba viatu watu waovu na wachafu
 
Nchi imejaa watu maradufu wajingaaa wanaotafuta utajiri kwakulamba viatu watu waovu na wachafu
Huyu kutwa utamkuta hapo gateway kijichi
Anakesha kwenye pombe na pool mpk alfajiri,huko yuko pekupeku πŸ˜„

Ova
 
Kapewa asali live kaikimbilia kidogo aanguke,
Kasahau hadi protocal.
Mlitaka asemeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…