Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Wewe mbwa Mpoto, hujui unachoongea pumbavu wewe. Hujui kuwa Samia ndiyo kiongozi wa nchi? Watu wanapotea na kutekwa na TISS, Wewe unaongea utumbo.....Huna akili wewe pumbavu. Samia kama rais anapaswa atulinde watanzania. Pumbavu wewe, watu wanatekana wapi kichwa maji wewe? Ali Kibao alijiteka?, Sativa alijiteka? Roma Mkatoliki alijiteka wewe mat*ko? Na hao wengine wote wanaotekwa mchana na watu wenye bunduki za kijeshi katikati ya Dar na mikoani? Hao ni akina nani......wewe ni mjinga usiye na akili, watu wanaumizwa, akina Lissu hadi leo ni vilema, unajua kabisa kilichotokea mwehu wewe. Unajipendekeza ovyo, tulikuonea huruma wakati mkeo alivyokufa, afadhali ungekufa wewe mchwa....Usiyejua wajibu wa rais ni nini paka wewe.
 
Huyo Mrisho ni mjinga kiasi hiki kweli au ni mlaghai anayepigia pambio watawala tu?

Ina maana hajui masuala ya usalama nchini ni wajibu wa rais pia?

Ina maana hajui vyombo vya usalama vipo chini ya rais?
Mjing sn,hivi huyu atamshawishi na eti kioo cha jamii
Mbugila kbs

Ova
 
Wewe chawa unajua kweli majukumu ya rais?
 
Kidogo tu ningelaumu watu waliorushia lawama za kutosha kwenye msiba wa mkewe,kumbe wale watu wanafahamu ubongo wake.Huyu jamaa hovyo mno!!
 
Wewe dawa yako ni kutekwa tu..maana hakuna wa kuzuia
 
Wasted sperm

Means hata hajui Kwanini Taifa Huwa Lina mchagua mtu Mmoja kuwa Kiongozi
 
Huyu jamaa sijawahi mwelewa tangu alipomnyanganya Ilene Sanga wimbo wa Nikipata nauli.
 
Huyu Bwege ngoja siku yamkute tena safari hii haitoishia kwenye comments, watu watafanya kufuru hadi eneo la tukio kabisa.
mkuu naomba ufatilie powa, ivi mrisho mpoto sio mshabiki mwenzako wa simba kweli
 
Mrisho mpoto vs wananchi
naona jamaa kaamua kuingia vitani uchi
 
This guy is an a...s
Kwani katiba ilivyosema raisi ni amili jeshi mjuu wa nchi yeye alielewaje? Kwa hiyo usalama upo chini ya TFF?
 
Amir jeshi mkuu hafanyi doria mtaani, vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi linda kila mtu
Haviwezi kulinda kila mtu, ila hawezi kuepuka lawama za vyombo vyake. Kama anapokea sifa, akubali na lawama
 
Kwa vile shetani hana Rafiki bila shaka zamu yake itafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…