milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Mpaka muda huu itakuwa anajulikanaSiasa za Tz ni maigizo tu. Jina linachaguliwa ndani ya mfuko wa shati.
Embu jishikilie mkuu,Hivi vyama vimejaa matapeli tupu hakuna cha CHADEMA wala CCM
Yaani tangu 1977 bado tu hujui fomu zinapatikana wapi? Utakuwa ni mfu kamanda ha ha ha😎Ninaomba,msaada wenu!
Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977.
Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana!
Fomu zinapatikana wapi!
Ile nafasi haigombewi kwa kujaza fomu. Jina linapendekezwa na Mwenyekiti na kutrhibitishwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuuu almaarufu kama CCNinaomba,msaada wenu!
Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977.
Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana!
Fomu zinapatikana wapi!
Kwanini Chadema,wasitumie utaratibu,huuIle nafasi haigombewi kwa kujaza fomu. Jina linapendekezwa na Mwenyekiti na kutrhibitishwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuuu almaarufu kama CC
Vp ulikuwa hausegirl wa mwenyekiti nini?Ati wanaCCM wanatucheka CHADEMA kuhusu mnyukano wa Mwenyekiti na Makamu wake ambacho ni kitu cha kawaida wala sio jinai.
Wakati wao Mwenyekiti wao alienda amevaa Pajama kwa makamu wake kwa lengo la kubaka[emoji23][emoji23]
Amaakweli Nyani huwa haoni kundule...[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunishambulia mimi ni kunionea, sio mimi ni kwamujibu wa Kitabu cha Erick Kabendera cha "Maagizo kutoka juu".Vp ulikuwa hausegirl wa mwenyekiti nini?
Alianza kushinda ubunge, akashinda uraisi wa nchi na sasa anaendelea kuwashinda wanaopambana na maiti. Hakika huyu ni ASIYESHINDWA..
Ninaomba,msaada wenu!
Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977.
Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana!
Fomu zinapatikana wapi!
Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu.Kunishambulia mimi ni kunionea, sio mimi ni kwamujibu wa Kitabu cha Erick Kabendera cha "Maagizo kutoka juu".
Punguza povu usije ukafa kwa shinikizo la Damu.