Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

Chama chetu hakinaga mambo ya form sheikh!! Kuna positions haziombagwi huku
 
Hivi vyama vimejaa matapeli tupu hakuna cha CHADEMA wala CCM
Embu jishikilie mkuu,

CCM kwa nafasi kama hiyo mtu anakuwa appointed tu kwa character na sifa njema sio Uropokaji na kujaza media😂😂😂.

Hata Urais ni mwendo wa kuchukua form baada ya miaka kumi

Mkiambiwa muwe na sifa njema mnasema chama ni cha wananchi.... Blood of Jesus unaelewa sasa?😂
 
Kwa maelezo yenu! Katiba ya CCM inahitaji marekebisho ya haraka sana!

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti, wajaze fomu,waombe kazi,wapigiwe kura!
 
Fomu zitolewe online ili tuombe.
Kama mimi nina vigezo
 
Ninaomba,msaada wenu!
Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977.
Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana!

Fomu zinapatikana wapi!
Ile nafasi haigombewi kwa kujaza fomu. Jina linapendekezwa na Mwenyekiti na kutrhibitishwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuuu almaarufu kama CC
 
Ile nafasi haigombewi kwa kujaza fomu. Jina linapendekezwa na Mwenyekiti na kutrhibitishwa na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuuu almaarufu kama CC
Kwanini Chadema,wasitumie utaratibu,huu
 
Attachments

  • IMG-20250107-WA0016.jpg
    IMG-20250107-WA0016.jpg
    142.4 KB · Views: 2
Ati wanaCCM wanatucheka CHADEMA kuhusu mnyukano wa Mwenyekiti na Makamu wake ambacho ni kitu cha kawaida wala sio jinai.

Wakati wao Mwenyekiti wao alienda amevaa Pajama kwa makamu wake kwa lengo la kubaka😂😂

Amaakweli Nyani huwa haoni kundule...😆😆🤣🤣🤣
 
Ati wanaCCM wanatucheka CHADEMA kuhusu mnyukano wa Mwenyekiti na Makamu wake ambacho ni kitu cha kawaida wala sio jinai.

Wakati wao Mwenyekiti wao alienda amevaa Pajama kwa makamu wake kwa lengo la kubaka[emoji23][emoji23]

Amaakweli Nyani huwa haoni kundule...[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vp ulikuwa hausegirl wa mwenyekiti nini?

Alianza kushinda ubunge, akashinda uraisi wa nchi na sasa anaendelea kuwashinda wanaopambana na maiti. Hakika huyu ni ASIYESHINDWA..
 
Vp ulikuwa hausegirl wa mwenyekiti nini?

Alianza kushinda ubunge, akashinda uraisi wa nchi na sasa anaendelea kuwashinda wanaopambana na maiti. Hakika huyu ni ASIYESHINDWA..
Kunishambulia mimi ni kunionea, sio mimi ni kwamujibu wa Kitabu cha Erick Kabendera cha "Maagizo kutoka juu".

Punguza povu usije ukafa kwa shinikizo la Damu.
 
Ninaomba,msaada wenu!

Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977.

Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana!

Fomu zinapatikana wapi!

huko ni mwendo wa kupeana lakini ndiyo wa kwanza kusema vyama havina demokrasia!
 
Naona mzee Yusuf anainyemelea maana naona anajioendekeza kwenye vyombo vya habari sana sikuizi
 
Hakuna nafasi ya kinana ndani ya CCM ila nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CCM Bara
 
Kunishambulia mimi ni kunionea, sio mimi ni kwamujibu wa Kitabu cha Erick Kabendera cha "Maagizo kutoka juu".

Punguza povu usije ukafa kwa shinikizo la Damu.
Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu.
 
Back
Top Bottom