“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

Niliwahi kwenda muhimbili idara ya ENT pale kuna nesi fulani aisee[emoji44] daah acheni mate yalinitoka

Ana msambwana natural kabisa miguu ya bia minene hiyo na sura nzuri ya upole .

Sijui anaitwa nani yule nesi .

Hata kesho ukienda utamuona [emoji44][emoji44]

Daaah sijawahi ona shepu tamu Kama ile

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulikua una umwa nini mkuu?, na mimi kesho niumwe nika shuhudie usemayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nesi......? Yaani happy utapigwa risasi,ukute alishaliwa hadi na walinzi.
Niliwahi kwenda muhimbili idara ya ENT pale kuna nesi fulani aisee[emoji44] daah acheni mate yalinitoka

Ana msambwana natural kabisa miguu ya bia minene hiyo na sura nzuri ya upole .

Sijui anaitwa nani yule nesi .

Hata kesho ukienda utamuona [emoji44][emoji44]

Daaah sijawahi ona shepu tamu Kama ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani.Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee.....

Inasemekana anatoak iringa

Kwa mwenye details zaidi
Anajiita @nicolejoyberryView attachment 1312347View attachment 1312348View attachment 1312349View attachment 1312350

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni @nicolejoyberry. Hakuna cha Sanchoka wala Iringa hapo. Ingia IG andika Nicole Joy Berry. Tusilishane matango pori hapa.
 
Tonsils zinaniletea tabu sana wacha nikirudi mjini niende hapo ENT nitaleta mrejesho mazee

Btw Asante kwa Ramani mzee baba @mazigazi
Niliwahi kwenda muhimbili idara ya ENT pale kuna nesi fulani aisee[emoji44] daah acheni mate yalinitoka

Ana msambwana natural kabisa miguu ya bia minene hiyo na sura nzuri ya upole .

Sijui anaitwa nani yule nesi .

Hata kesho ukienda utamuona [emoji44][emoji44]

Daaah sijawahi ona shepu tamu Kama ile

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kwenda muhimbili idara ya ENT pale kuna nesi fulani aisee[emoji44] daah acheni mate yalinitoka

Ana msambwana natural kabisa miguu ya bia minene hiyo na sura nzuri ya upole .

Sijui anaitwa nani yule nesi .

Hata kesho ukienda utamuona [emoji44][emoji44]

Daaah sijawahi ona shepu tamu Kama ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ent ndo idara gani? Na inatibu nini baadae nitimbe
 
Unataka details gan mkuu[emoji23][emoji23] hii kazi ya warumi aisee[emoji23]

niliona her interview kwa Millard Ayo anasema kasoma Malaysia! Which isn’t true[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hatak kusema ukweli Shule alizosoma maana anajua kuna vichwa vitamuandama

Btw hayo maisha alikua anayapenda waaaaay back so it’s a dream come true to her.
Mzee inaonekana una details za huyu mtu eeh[emoji2][emoji2]

Enhe hebu tuambie zaidi mzeebaba
 
Atajijua ndo mambo anayapenda, at first alikua anasingizia sbb Kazaa ndo maana kafutuka hvyoo. Na alikua black beauty mzuri tu, she was slim na kitako wastani.
Picha picha pichaaa mzee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
lazima foleni iongezeke ENT department (ears, nose, and throat).
Hivi throat si ndio koo eeh[emoji848][emoji848]
Ngoja niende na mm nikaseme naumwa throat na nose pia Nina mafua(napulizia pafyumu ya buku tatu najua yatakuja yenyewe tu)

Dadek watu tunasafiri mpaka mwanza huko kisa kufwata dem,sembuse hapo mwimbili tu,natimba mwanangu nitakuletea mrejesho kwenye ule Uzi wa kula tunda kimasihara

Nb;uniombee niwawakilishe vyema mabaharia
 
Back
Top Bottom