“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks


Ulikua una umwa nini mkuu?, na mimi kesho niumwe nika shuhudie usemayo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nesi......? Yaani happy utapigwa risasi,ukute alishaliwa hadi na walinzi.
 
Huyo ni @nicolejoyberry. Hakuna cha Sanchoka wala Iringa hapo. Ingia IG andika Nicole Joy Berry. Tusilishane matango pori hapa.
 
Tonsils zinaniletea tabu sana wacha nikirudi mjini niende hapo ENT nitaleta mrejesho mazee

Btw Asante kwa Ramani mzee baba @mazigazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ent ndo idara gani? Na inatibu nini baadae nitimbe
 
Mzee inaonekana una details za huyu mtu eeh[emoji2][emoji2]

Enhe hebu tuambie zaidi mzeebaba
 
Atajijua ndo mambo anayapenda, at first alikua anasingizia sbb Kazaa ndo maana kafutuka hvyoo. Na alikua black beauty mzuri tu, she was slim na kitako wastani.
Picha picha pichaaa mzee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
lazima foleni iongezeke ENT department (ears, nose, and throat).
Hivi throat si ndio koo eeh[emoji848][emoji848]
Ngoja niende na mm nikaseme naumwa throat na nose pia Nina mafua(napulizia pafyumu ya buku tatu najua yatakuja yenyewe tu)

Dadek watu tunasafiri mpaka mwanza huko kisa kufwata dem,sembuse hapo mwimbili tu,natimba mwanangu nitakuletea mrejesho kwenye ule Uzi wa kula tunda kimasihara

Nb;uniombee niwawakilishe vyema mabaharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…