Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Lile ni zoba liko radhi kukubali kurekodiwa likitatNjaa mbaya sana mkuu, we unadhani Mwashambwa anamtetea samuya kwa akili yake timamu?!
Mkuu ingia facebook na tiktok. Ama Google Russian man on kenyan women.Hizo video zipo wapi sasa?
Sawa mkuuMkuu ingia facebook na tiktok. Ama Google Russian man on kenyan women.
Hawa wazigua wanalikuza hili jambo bila sababu yoyote ile au kwa kuwa Mzungu ndio kawatongoza?Sasa nyie Wazee wanawake kutongozwa mnaona ishu daah...
Inasikitisha au kwa kiwa mwanamke mweusi ndio katongozwa na mwanaume mweupe?Sijaiona tatizo hapo!!! Kutongozwa na kukubali ni kosa kisheria??
Video ipo wapi?Ni aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.
Mkuu ni aibu lakini ndiyo hali halisi. Hivi unadhani kuwa wazungu hawajui hili? Hata ukifanya kinyume... aje mwanamke wa kizungu atongongoze wanaume hali itakuwa ni hiyo hiyo. Kuna wanaosema shida ndiyo inasababisha haya lakini mimi naona ni zaidi ya shida. Tatizo sisi waafrika tunapenda sana short-cut, tunachukia kazi, tunachukia challenge halafu mbaya zaidi tumeathirika na mawazo ya kitumwa.Aibu jamani 🙄
Sijui kuhusu nchi za ya Urusi lakini States pia watasha ndio rahisi kuliko waafrika. Unaweza ukawala hata kumi kwa siku bila hata hela wala kuwa na mali.Mkuu ni aibu lakini ndiyo hali halisi. Hivi unadhani kuwa wazungu hawajui hili? Hata ukifanya kinyume... aje mwanamke wa kizungu atongongoze wanaume hali itakuwa ni hiyo hiyo. Kuna wanaosema shida ndiyo inasababisha haya lakini mimi naona ni zaidi ya shida. Tatizo sisi waafrika tunapenda sana short-cut, tunachukia kazi, tunachukia challenge halafu mbaya zaidi tumeathirika na mawazo ya kitumwa.