Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
Usafirishaji wa meli hawalipishi kwa kutumia kilo- wanatumia CBM ( ukubwa wa mzigo) na kila bidhaa Ina gharama zake kwa CBM- kwa undani zaidi fika ofisini kwao.
Usafirishaji wa meli hawalipishi kwa kutumia kilo- wanatumia CBM ( ukubwa wa mzigo) na kila bidhaa Ina gharama zake kwa CBM- kwa undani zaidi fika ofisini kwao.