Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

Baada ya muda mfupi, kabla ya kufika kituo cha kazi aliombwa cheti halisi cha Form IV alikipeleka Necta, Baada ya hapo,
Mkuu habari, naomba kufahamu baada ya kupeleka NECTA cheti halisi cha Form IV, ni maelezo gani alipewa Necta je walithibitisha kwamba ni cheti halisi, ni chake na hakina makosa?

hivyo akaombwa aende shule ya sekondari aliyosoma alifanya hivyo na alipewa yale yale matokeo ya awali ni zamani kidogo 2002. aliweza kufanya comparison na aliona somo moja lililoandikwa Agriculture Science badala ya Agricultural Science
Je baada ya kupewa matokeo ya awali, uongozi wa shule ulisemaje? Baada ya kuona hiyo tofauti ya uandishi wa somo?
 
Sijaelewa kabisa jamaa anataka nini, sio kwa ubaya kama ndege wafananao huruka pamoja

Basi pasi na shaka huyo rafikiyo anataabika kwa kushindwa tu kujieleza akaeleweka kama ambavyo wewe mtoa mada ulivyoandika

Haujaeleweka kabisa kwa upande wangu
 
Mambo mawili nayaona hapa
1. Taarifa imekatizwa au
2. Kuna vitu (maelezo) yanakosekana

Kaenda NECTA... Kabla ya kuambiwa aende shuleni aliambiwa nini kuhusu cheti hicho na je aliambiwa aende shuleni akafanye nini?

Kaenda shuleni... Alivyooneshwa masomo akagundua kwenye cheti kuna shida je akaambiwaje

Utendaji kazi umeathirika... Je ina maana hiyo kazi kumbe alishapata au sijaelewa; kama ni ndiyo sasa shida ni nini tena?

Ushauri wangu kama amegundua kuna shida ni awasilishe cheti chake kwenye ofisi husika (NECTA) ili waone wanakibadilishaje
 
Ahsante Jinsi Mungu Aishivyo kaka Leo Nitakuwa naye na nitajibu hoja hii kwa mapana yake, alipata Barua ya kupangwa Kazi baada ya kwenda kituo Cha Kazi, mwajiri akampa Barua kutoka necta afike Ofisi zao.... Mpka hapo Bado Kuna Mashaka kwamba huenda kuna mtu anatumia Cheti chake.
 

Nafikiri kuna vitu bado ujaeleza vizuri, hii ndo shida ya wa Tanzania, anaweza kupa taarifa pungufu halafu anaomba Ushauri!

Ninaamini jamaa ana changamoto ya cheti na matokeo yake, something doesn’t add up kabisa!

Mwambia a analyze facts na uhalisia wa changamoto yake na achukue hatua, aache hisia za Msongo wa Mawazo na kulea familia!

Hii Dunia is full of stress and challenges!
 
Kwa nini unajipa majibu mwenyewe? Eti "mpaka hapo bado kuna mashaka kwamba huenda kuna mtu anatumia cheti chake!" Unafikri shida ingekuwa hiyo ungekuwa mtaani leo hii? Hebu nenda ukapate majibu sahihi huko huko kwenye ajira yako. Kama cheti chako ulikichonga Kariakoo ndiyo utajuta!
 
One one door is closed many more is open....
Aendelee na maisha.....
 
Kwani Si Database ya Necta Itaonyesha Kuwa Anasema Sahihi?

WAlimtuma Shuleni kufanya Nini wakati shule haiwi Accountable na matokeo ya Mwisho wa Mtihani na Cheti??

Msimamizi wa Mtihani na Mtoa matoneo na Regulator wa hayo matokeo na kuhakikisha Usahihi wake si ni Necta Kama Kosa lilifanyika NECTA yeye hawezi kuwa accountable na chochote Unless kama Hakuwahi kusoma Katafuta Cheti..
Ila kama alisoma na Cheti ni chake halisi Hayo ni makosa ya NECTA na hawezi Yeye kuyalipa
 
kwa hiyo wakati anakuelezea hukumuhoji ukakimbilia jf kutafuta majibu kwa masuala usiyo na ufahamu nayo?
 
Kuna mambo ume ficha sijui kwa manufaa ya nani ila ayo ndio yangetoa mwanga .hadi kufikia utendaji ushuke basi kuna kitu...
 
Ni sawa nakusema nina shida bila kusema shida gani? Halafu unataka watu wakutatulie shida yako. Eleza ulichoambiwa na NECTA bila kuficha taarifa yoyote.
 
Si useme tu ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…