El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
aliombwa cheti na utumi au mwajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa bado yupo mtaani huku akiendelea kutafuta suluhisho la tatizo lake.Si bado yupo kazini?
Vetting huwa inafanyika na Necta ndio huwa wanathibitisha kama ni halali or what.
Hapana, kabisa Mimi si mtumishi wa Serikali japokuwa ninaitumikia jamii nje ya mfumo rasmi ya serikaliSi useme tu ni wewe
Jaribu kuongea na nekta awaunganishe na watu wa ajira portal kudhihirisha taarifa ni za kwlHabari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother).
Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo alifaulu na kupata barua ya kuitwa kazini na Utumishi. Baada ya muda mfupi, kabla ya kufika kituo cha kazi aliombwa cheti halisi cha Form IV alikipeleka Necta, Baada ya hapo, aliombwa kutoa maelezo ya cheti chake alifanya hivyo kwa asilimia mia moja
Alitumiwa barua yenye kuonyesha wasiwasi wa matokeo ya masomo yake, hivyo akaombwa aende shule ya sekondari aliyosoma alifanya hivyo na alipewa yale yale matokeo ya awali ni zamani kidogo 2002. aliweza kufanya comparison na aliona somo moja lililoandikwa Agriculture Science badala ya Agricultural Science, Huyu ndugu anateseka sana hivi sasa ukizingatia muda aliosota kwenye masomo ni mwingi, pia Umri umesonga anategemewa na familia . Tunatafuta msaada kwa wenye uwezo watusaidie kupata Suluhu ya hili Tatizo na kama kuna Sehemu sahihi ya kufika. Mpaka hivi sasa huyu bwana amepata Frustration na ufanisi wake wa kazi umeshuka kwani hajui pakuanzia na ni kweli alisoma na alifanikiwa kupata cheti na kuendelea na masomo ya Elimu ya Juu.
Kwa heshima na Taadhima naomba Msaada wa Mawazo, Ushahuri chanya juu ya nini chakufanya kufanikisha hili jambo. Naomba Kuwasilisha