Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

Mimi nilivyoona inawezekana Cheti chake kina matatizo sio halali au kinatumika na MTU tayari.

Ukifanya mtihani hapa Tz wa necta data base zako unakuwa nazo kuanzia result sleep mpaka cheti.

Nadhani yeye hakupaswa kuwa accountable kwa namna yoyote ile.

Kama anaongea ukweli aende necta wampatie matokeo ya kidato cha nne 2002 then alinganishe na cheti chake .


Maana katika taasisi za serikali ambazo huwa zinajitahidi kufanya Kazi vizuri ni necta , yaani necta wanawazidi hadi TCU so afatilie na Kama cheti anakitumia MTU atajua akifika necta.

Then mfumo wa Ajira unatumia cheti cha form four so hawawezi kuingiza watu wawili katika system Kwa kutumia Cheti kimoja japo inawezekana kiujanja ujanja.
 
Jaribu kuongea na nekta awaunganishe na watu wa ajira portal kudhihirisha taarifa ni za kwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…