MSAADA - ambaye ameshadeal na kuachwa na ndege / “no show” na Turkish airlines anisaidie

Asante mkuu, ila masaa 4 mbona utakaa airport muda mrefu sana, mimi huwa najitahidi masaa mawili!

Eti Puberty darasa la sita 😂😂😂 sema mada za raha
Aisee huwa nawahi, nafanya ibada zangu pale za shukrani kuna sehemu yetu pale chini ya ngazi jirani na washrooms, kisha napumzika nakumbuka familia yangu napata muda wa kuagana nao, pale panahuzunisha sana, then wakifungua nawahi kuclear mizigo yangu mapema na boarding passes.

Ahahhah second paragraph huwa unanishangaza sana basi tu.
 
Inapendeza sana, kumbe huwa mnafanya na ibada airport. Kale kachumba binafsi sijawahi kuingia, labda next time nitajaribu.
Ahahhah second paragraph huwa unanishangaza sana basi tu.
Usishangae, ni mambo ya kijamii tu, kuelimishana na kuburudishana kwa kiasi!
 
Inapendeza sana, kumbe huwa mnafanya na ibada airport. Kale kachumba binafsi sijawahi kuingia, labda next time nitajaribu.

Usishangae, ni mambo ya kijamii tu, kuelimishana na kuburudishana kwa kiasi!
Mkuu kupata exposure ya kwenda nchi za watu ni feeling nzuri sana na ni bahati kubwa, kwani kati ya watanzania karibu milioni 70 ni kundi dogo sana la watu ambao hawafiki hata laki 5 wamewahi kupata hiyo nafasi, so ni vizuri kuanza safari yako kwa shukrani.

Najifunza kuheshimu watu ukute hapa unajiachia ila kwenye real world ni mdada na heshima zake mkuu.
 
Bhagosha mashikolo mageni, naseka sana nene
Nagaja gūkoba makima magīnu agīzungu ayo alīnamadako matale. Hapandīka abīlī nkoyi - Melissa na Maggie. Ūmelisa nagamyaja gana ganikī. Īhala galīnamyaka makumyabīli nī datū. Ūlūgīkī ūgūdakaga kutola enhaga mang'ombe guke nyanda nagunhe ganikī gabuza sana gagole! 👏😂💪
 
Khaaaa 😄😄😄😄😅😅😅
Madako matale matale
 
Miaka, wanawake, nime kataa, nilete ng'ombe, unipe binti,

Mengine yame nipita 😂🤣
 
Hatokei bongo, aliingia airport ndani ila kwa sababu alichelewa masaa mengi, Turkish walikua wameshafunga check in counter na hawakua na ofisi kwenye hiyo airport.
Hapo sawa kama hawana agent. Na wewe upgrade your sister aachane na hao Turkish wachovu😃. Nilisafiri nao one time never again labda kama sina options kabisa na ni emergency.
Halafu kama anaishi nje atafute credit cards za maana, huna wasiwasi wa kuachwa, mizigo kupotea, cancellation, etc kila kitu kipo covered
 
Tafuta mkalimani. Unataka mchongo huu ukupite? Kha!

Manyanza, Kalpana, Binti wa zamani, Evelyn Salt nipeni tafsiri nisikose huu mchongo.
 

Mpe pole sana. Pengine kwa taarifa tu; Duniani kote; masaa ya ndege uhesabiwa kwa mtindo wa MASAA 24. Naomba kuwasilisha
 

Habari dada
Naamini umesha saidika, kama bado
Utaratibu uko hivi: ukiwa no show unapiga simu au unatuma email (kama ulikata ticket online); Pia unaweza kuwatafuta kwa Face book chat; KLM najua wapo huko.

Ukiwapigia simu/email; unawapa tarehe unayotaka kusafiri; Unalipa hicho kiasi 200usd ; wanakupatia ticket. Kumbuka hiyo tozo ya $200, inategemea na daraja la awali; kwa wale waliobook madaraja ya juu, kama daraja la kwanza au Business Class; huwa hawalipishwi.
Ukiomba refund inachukua muda na wana kata sana, mwisho wa siku utapata zaidi kidogo ya nusu ya kiasi ulicholipa awali. By the way hiyo no show ina tumika ndani ya mwaka mmoja (validity ya 12months).

Angalizo: ukichagua tarehe ambayo hilo daraja la ticket ya awali lime jaa; watakuambia daraja la juu yake linalopatikana; kama upo tayari, utatakiwa kujazia ile difference au uchague tarehe nyingine ya safari.
Reservation System haimruhusu mteja/abiria abadilishe tarehe mwenyewe na ndio sababu anapata huo ujumbe.
Huo ndio utaratibu; ukiwa na maswali mengine karibu!
 
Aisee! Kwamba less than 1% ya waTz ndio wametoka nje ya nchi?!
 
Aisee! Kwamba less than 1% ya waTz ndio wametoka nje ya nchi?!
Sure mkuu wangu, kwenye watanzania kama laki 9 wanaomiliki passport wengi wamezichukua tu kwaajili ya kuambiwa kuwa na passport ni muhimu unaweza kupata zali muda wowote na nyingine ni za madereva wetu wa transit, hawa wana exposure ya Zambia na Congo.
 
Omba Mungu yasikukute
 
Wazee wa mwendokasi huu uzi tunauzoom kwa mbaaali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…