Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

Taja bei ya unit moja ni shilingi ngapi halafu ufunge naona umepata kazi ofisi ya msaidizi wa Mr. Mello
Unit 1 = lita 1000 za maji.

Kuhusu bei fanya ukokotozi hqpo kwennye hiyo bili nimetuma
Screenshot_20240411_223906_Messages.png
 
unit 1=lita 1000=ndoo 50 za lita20=shilingi 1,679.63 kwa bei ya dar. kazi kwako.
 
Sasa siku upo free naomba uchote.maji kwenye ndoo huku ukisoma unit kwenye mita uone kama hiyo unit moja itafika ndoo 20.. 😃😃😃😃😃😃😃
 
unit 1=lita 1000=ndoo 50 za lita20=shilingi 1,679.63 kwa bei ya dar. kazi kwako.
Ni kweli unit moja zinafika ndoo hamsini? Hizi meter endapo hazisomi uhalisia mteja au msoma meter anajuaje? Hapa serikali kuna namna inaumiza wananchi. Kama ingekuwa kweli unit moja inasoma ki uhalali ndoo 50 za lita 20 wananchi tungeisha kwa raha sana maana kufikisha unit 40 kwa mwezi kwa matumizi ya kawaida ni vigumu sana. Hizi idara za maji wafanyakazi wake ni kama hazimo, hata ulalamike vipi kuwa kwa matumizi ya kawaida kufikisha unit 40 kwa mwezi ni vigumu, swali la msingi wanalokuuliza ni meter inasoma au haisomi? Bila kujali kwamba inaweza kusoma ila ikasoma uongo. Hili ni janga hasa Morogoro mjini
 
Morogoro mjini tatizo la mita za maji kusoma units nyingi kuliko units halisi unazotumia ni kuwepo na hewa nyingi kwenye mabomba.
 
Umaskini huu, Mtu anaoga, anaenda chooni, anapika etc, bill ya maji ya maji: 10,000 analalamika, ila anakunywa beer 7 weekend!!!!??

Sijawahi feel pain ya maji.... Toka nikiwa mwanafunzi mpaka leo.

Hivi ukiwa na fikra za kuwaza mambo madogo hivi, mpaka madum? Mililita. Sijui liter, sijui dumu, sijui nini, pumbavu kabisa.
 
(bachela mmoja anaoga na dumu moja la maji wiki nzima) hawa ndio vijana wa TANZANIA. Haoni aibu hata kuongea hivyo ilimradi naye aonekane mtandaoni
 
Umaskini huu, Mtu anaoga, anaenda chooni, anapika etc, bill ya maji ya maji: 10,000 analalamika, ila anakunywa beer 7 weekend!!!!??

Sijawahi feel pain ya maji.... Toka nikiwa mwanafunzi mpaka leo.

Hivi ukiwa na fikra za kuwaza mambo madogo hivi, mpaka madum? Mililita. Sijui liter, sijui dumu, sijui nini, pumbavu kabisa.
😂😂😂 ulivyoongea Kwa utulivu yaani km kitu cha maana!! Na ukute wewe kwenye familia ndiyo think tank.. Kumbe ni takataka kabisaa! Kiwango kizuri cha mtu kufikiri vizuri ni pamoja na uwezo wake wa kudhibiti kila kitu kinacho pora haki yake! Halafu unajisifu ulipitia chuo na chuo hakijakusaidia kujitambua. Shule ulipita kuchukua ujinga!!
 
Umaskini huu, Mtu anaoga, anaenda chooni, anapika etc, bill ya maji ya maji: 10,000 analalamika, ila anakunywa beer 7 weekend!!!!??

Sijawahi feel pain ya maji.... Toka nikiwa mwanafunzi mpaka leo.

Hivi ukiwa na fikra za kuwaza mambo madogo hivi, mpaka madum? Mililita. Sijui liter, sijui dumu, sijui nini, pumbavu kabisa.
Ni vizuri ukajifunza kutenda kwa haki. Ikiwa serikali yenyewe ime - set standards kwanini zisifuatwe? Na kwanini uone anayehoji kutofuatwa kwa hizo standards zilizowekwa ni mpumbavu? Kama wewe huoni kuna umuhimu huna sababu ya kukejeli anayeona umuhimu huo. Kumbuka chanzo cha utendaji mbovu kokote kule ni kukosekana kwa watu wanaohoji kitu kinachopelekea watendaji kufanya wanavyotaka wao
 
Ni ndoo 50, lakini siyo iliyojaa hadi juu.
Ukipima kwa ndoo ikiwa full haupati 50 kwasababu ndoo au dumu likijaa hadi juu inakuwa ni zaidi ya lita 20. Kupima unit za maji kwa kuhesabu ndoo zilizojaa hadi juu siyo kipimo sahihi. Usijaze ndoo full.
Zile mita zipo sawa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom