Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

Kama utajaza ndoo mpaka juu au dumu mpaka juu hazifiki maana zinaingia Hadi Lita 22 au 23 ndoo inapojaa mpaka juu
Sasa siku upo free naomba uchote.maji kwenye ndoo huku ukisoma unit kwenye mita uone kama hiyo unit moja itafika ndoo 20.. 😃😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom