Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Kama hajazimwa click find my device Kisha ipige itaitanataka kujua tu ilipo maan imepotea ndani kulikua kuna watu ila wanakataa the thing I want niwa show hata kwa location kwamb simu kuna mtu kati yenu amechukua ni hivo tu kisha nita deal now natak evidence tu maan wanajifany wananisaidia kutafuta kinafiki