Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Asikuambie mtu mkuu hii condition ni mbaya sana asikuambie mtu mimi nimekonda kwa mawazo kichwa mpaka kinapata moto ni balaaa..
 
nmecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23] watu mnaogopa kufa jamani.
Kitu wasichojua wengi ni kwamba yapo magonjwa ya kuambukiza mabaya zaidi ya HIV ambayo nayo ni Virus pia
na hizo hofu zinafanya kinga ya mwili inashuka kama HIV tu ndo mana ukiwa na stress/hofu nyingi unajikuta unapata maradhi ya ajabu ajabu!! Ipo nguvu juu ya amani ya moyo ukiwa na amani tu utashanga aunapona mambo mengi sana
 
Hakika. Halafu ilikuwa ni ujinga wangu tu, mwanamke nilimpatia Facebook tu alikuwa yupo Arusha mie nipo Dar. Yule dada sijui alinipendea nini tu. Alifunga safari hadi Dar nilipo, aisee nikiri kuna wanawake wazuri, she was so beautiful na zaidi, yaani ngozi yake kama vile ndio kifaranga cha kuku kimetoka kwenye yai, mweupe na ana shape, halafu ni wa kishua na alinisaidia sana, hakupenda kuona shida zikiniandama.

Nilipanga nitatumia condom, lakini kwa uzuri ule alokuwa nao niliona nikitumia kinga nitakuwa ni kama sijamla, nilitaka ili nipate flavor yake kamili lazima miili iungane bila kipingamizi and for sure i enjoyed her and felt so proud..


Niliteseka sana baada ya yeye kuondoka maana mawazo yalikuja mengi sana nikawaza mbona nilivaa condomu na nikaivua hata kabla ya show huku akiwa ananitazama tu, kwanini hakuuliza chochote? On top of that kina masaa kadhaa simu yake haikuwa hewani, nilijua moja kwa moja she killed me na hapo mission yake imeisha kazima na simu.

Nilikonda sana hicho kipindi, nikimuuliza naona ye yupo normal tu na tunaongea kama kawaida. Nilianza kula vibaya ili kuona nitadhoofu au vipi, ikapita miezi mitatu taratibu nikawa ninarelax hadi nikarudi normal, nilikuwa namchukia ila nilirudisha upendo tena.

Binadamu tulivyo wasahaulifu, kuna kipindi nikiwa geita akaniambia anataka kuja, nikasema okay. Alikuja na nikamrarua tena peku. That time sikupata tabu hizo.
 
Hofu ni tatizo kubwa kuliko hata hio HIV aisee
 
Mimi jana nilienda hospital baada ya kuona sijielewi mwili ulipoanza kukosa nguvu na kuanza kama kupepesuka nilionana na dr akaniandikia vipimo vitatu kimoja cha mkojo vilivyobaki ni vya damu ..nakuja kupewa majibu nikaanza kupata nguvu sehemu ya kupanda boda boda mimi nikatembea kwa miguu kwa furaha niliyokuwa nayo punde si punde njiani ..mawazo yakarudi dr amekudanganya si unaona alivyokuwa anakuangalia kwa huruma kaogopa kukupa majibu yako mawazo yakarudi tena mwili ukaanza kuchoka tena kama mwanzo dahhhh nyie acheni tu..
 
Bora wewe mkuu mimi simu anapokea na kupima hataki ananiambia kuwa yeye ameshapima nikawa nambeleza tukapime ili angalau nipate faraja wapi jibu lake tu kuwa yeye hana maambukizi nyie nyie..kuna mda nakaa mwenyewe nalia[emoji25]
 
Umeanza kuwa kichaa wa kujitakia/hiyari ya moyo.
 
Kila siku tunasema nyama kwa nyama (kavu kavu) sio nzuri kwa afya zenu mnashupaza mafuvu yenu.

Vuna ulichopanda dogo.
 
Mwamba una roho ngumu mimi ata tukipima na demu sili Peku never ata vipimo vikionesha negative
 
Yaani kumla demu peku,yahitaji moyo kwakweli.Mi nikivaa kondom nafanya mapenzi kwa kujiamini sana na nainjoi,ila peku,kwakweli naogopa,mademu wenyéwe Hawa,thubuuutu...! nikipata UKIMWI saa hizi,na hali ya hewa ya baridi hivi,nianze kuhangaika... waaapiii.. bora nionekane muoga.
 
Yani mm mwenyewe sijui ata imetokeaje [emoji58][emoji58]
 
Wewe jamaa kwanza ni muoga sijawai ona mimi hizo situations nishakutana nazo zaidi ya mara tatu na kuna doctor alinambia uoga huwa unafanya mwili ureact vile unavyofikiria wewe ila mwisho wa siku hauna ugonjwa hiyo ni hali ya kawaida hata mimi nimepitia zaidi ya mara tatu ila sio kwa kiwango chako cha stress ila cha kukushauri kwa ulivyo muoga usipige peku wewe au uwe unapima before kupiga maana wewe unaeza kufa kwa mawazo kabla ya HIV yenyewe haijakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…