Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

 
Kama unaniongelea mm
 
Napitia hichi kipindi ila nilianza kutumia Pep baada ya masaa 36 ambao ndio muda niliompima nikakuta anao na hakuwa akijua kama anao, hapo nilimwita siku iliyofuata ili tukiwashe tena ndio nikapata wazo la kujihakikishia usalama, aisee naomba muda ukimbie nijue status yangu maana ninavokonda kila siku watu wananiuliza nina shida gani
 
Mkuu iyo hali ni hatari asikuambie Mtu mimi nilishaanza kujiunga na magroup ya wenye HIV HIV kwenye facebook yani nilikuwa najiisi ninao..
 
Vp mkuu Pep zilikusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…