Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

True Elimu pekee haitoshi zama zimebadilika kama hali inaruhusu unamfunza kumiliki biashara kidogo kidogo so akiwa na vyeti pamoja na ujuzi hawezi kuwa tegemezi.
Wasomee kile watakachokuja kufanya ukubwani.Wakati wa likizo au weekend unakuwa nao field mfano garage,dukani, kwenye ujenzi,uvuvi, mifugo, shambani,mgodini,sokoni,nk.
So hata asipoajiriwa tayari anayo nguzo ya maisha.Na sio amalize masters kisha aanze kuendesha bodaboda.
 
kikoozi bado hujachelewa. Achana na hizo hela za mzee wako. Badala yake tafuta mali za kwako, na pia wekeza kwenye elimu ya watoto wako, huku ukiwazoesha kutafuta kwa jasho tangu wakiwa wadogo. Achana kabisa na hii tabia ya kizamani ya kutegemea mali za urithi.

Baba ya yako kama angekuona una upeo mkubwa, angekukabidhi hata milioni 100 tu za kuzungushia na baadaye kumrejeshea! Ila ndiyo hivyo tena! Amekugundua wewe ni mtu wa anasa tu na usiyejua kutafuta cha kwako.
 
Wewe ni mbwa kasoro mkia miaka 41 unajiita kijana wakati ulitakiwa uwe na familia yako na unamsaidia baba yako!!! Ndiyo ninyi mnaowauwa wazazi wenu ili mchukue mali zao baba yako kakulea na labda kakupeleka na shule lakini huna shukrani mimacho yote umeangalia mali ya baba yako kama ulichangia hata mfuko wa cement mpeleke mahakamani uone utakavyokufa kifo kisichojulikana . Unapata wapi ujasiri wa kumfikiria baba yako vibaya ninaandika kwa hasira kali kwa sababu aliibuka mpumbavu kama wewe kwangu nikamnyoosha ingiza timu uone. HATI IMEANDIKWA JINA LA BABA YAKO MAANA YAKE MMILIKI NI YEYE WEWE UMETOKA WAPI MPAKA UDAI MALI YA MTU MWINGINE? TAFUTA VYAKO.
 
Wazazi wengine wanakera bwana....sasa wee umenizaa kwa kutaka raha yako ya maisha leo hutaki na mie nifurahie maisha basi bora nikudedishe tuu.
NINGEKUWA BABA YAKO MIMI SASA HIVI UNGEKUWA KABURINI AKILI KAMA ZAKO MPO WENGI NA JIBU NI MOJA TU KUZIMU. BABA YAKO SIYO ATM YAKO TAFUTA ZAKO
 
NINGEKUWA BABA YAKO MIMI SASA HIVI UNGEKUWA KABURINI AKILI KAMA ZAKO MPO WENGI NA JIBU NI MOJA TU KUZIMU. BABA YAKO SIYO ATM YAKO TAFUTA ZAKO
Safi na mie ndio maana nasema wababa ambao wanakuwa na misemo ya kijinga kama yako ya kusema katafute zako nao wanatakiwa kudedishwa tuu.
Sasa usipo mpa mtoto wako utampa nani? Roho mbaya hizo.
 
Safi na mie ndio maana nasema wababa ambao wanakuwa na misemo ya kijinga kama yako ya kusema katafute zako nao wanatakiwa kudedishwa tuu.
Sasa usipo mpa mtoto wako utampa nani? Roho mbaya hizo.
YEYE BABA YAKO ALIPEWA NA NANI? TUANZIE HAPO KWANZA
 
Tafuta ya kwako uuze vyamzazi wako vitakuwa vyakwako pale atakapofariki.
 
YEYE BABA YAKO ALIPEWA NA NANI? TUANZIE HAPO KWANZA
Hilo mie halinihusu kinachonihusu mie ni kwamba yeye ni baba yangu na hivyo pale ambapo ninapitia magumu na yeye yupo katika financial position ya kunisaidia lakini akauchuna basi ni dhahiri hana upendo juu yangu sasa kama hana upendo kinachonakia hapo nikumtoa uhai tuu. Liwalo na liwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Komaa akupe bwana, ni jukumu la mzazi kuhakikisha mtoto anapata urithi.
 
Mungu atusaidie kwa kweli. 41years still unajiita kijana? Je hyo nyumba mlijenga na mzee wako??
 
Baba yake keshagundua akimpa zitaishia kwenye anasa.
 
Miaka 41 hujui tabia za baba yako πŸ˜….. Ungemalizana na dalali tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka wazazi wakutoe au kukufagilia kwanza kuwa na nidhamu, alafu kuwasaidia kazi za nyumbani, utakuta mtu yupo home kakosa kazi Hana msaada Wala Nini, pesa huna, hata kufyeka majani hushindwe, Sasa hivi Kuna shida ya maji huendi kuchota unalala ndani tu,
Au mzee wako umri umeenda unashindwa kumfulia nguo zake unategemea wakutoe kwel.?
 
Ushasema yake,hilo ni jibu tosha sana ya yeye kufanya atakalo,
 

Mwaka jana Machi 2021 ulikuwa na miaka 39, leo una miaka 41

Mwaka jana ulikuwa mtoto wa kwanza kuzaliwa, mwaka huu wewe ni wa kwanza kuzaliwa.

 
Mkuu Kalunya; Sijasikia upande wa mchango wa mama. Mfano: Wapo baadhi ya wamama wanawaghilibu au wanapandikiza roho ya chuki kwa watoto wao ili waone na kuamini kwamba Baba ni Mkorofi -mathalani Wapo baadhi ya wamama wanathubutu kuwatamkia watoto wao esp. wa-kiume kwamba "Baba yenu huyo we acha tu; nisingesimama kidete sijui nyie leo ingekuwaje, huyo ni baba jina tuu."
Pole mkuu, ila bora usingeandika umri wako
Ni vizuri; amekuwa muwazi.
 
Ukala 270 kujipongeza, thn unataka na pesa ya mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…