Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Kwa mantiki hiyo Jamaa anaona mzee hafi upesi, na kwa hiyo anataka amuwahishe mzee(Amuue) ili apate huo uhalali wa kudai urithi.
Very lunatic guy.
Na asichojua ni kwamba kisheria ukisababisha kifo cha mzazi kwa makusudi au kwa kumtomjali unaweza kunyimwa urithi yaani baba yako anaumwa, halafu ukaamua kumuacha ndani bila matibabu ili afe, imekula kwako.
 
We have an intention for murder right here
Utamuua mzee huyo kwa hiyo akili uliyonayo
 
NAposema kwamba baba mzazi amsaidie kifedha pia busara itumike...lazima mtoto nae aonyeshe nini anataka kufanya but u dnt outright abandon ur child!
A useless stupid child?. Over my dead body. Just imagine, the first thing That old boy is thinking of is on how to get the money from his father; and the plan is to kill his poor father!
Mr. Mzabzab try to put yourself on the position of the Father; And here is an Old boy (ur Child) you raised from fetus stage(Pregnancy) up to 41 yrs old and now he is sitting there planning on how to cut ur throat. He has the energy to end up your life just like that but not energy to toil and find his own money.
I think he is a CURSE.
 
Wee bwana huyu jamaa hajasema anataka kumuua baba yake.
Na mpaka mtoto wako anafikia hapo ujue kuwa kama mzazi una continuting factor pia kwa mtoto wako kutokifanikiwa. So u cant squarely put the blame on the child alone.
 
You and your opinion your more evil than the parent you are pointing, no one deserve to die no matter what. Wewe naye utakuwa na akili kama za huyo mjinga hapo juu, miaka 41 bado unalilia kugawiwa hela kwa kuwa babako ameuza nyumba.
Alafu bila aibu anasema alikuwa na laki na Sabini kaamua kufanya sherehe kisa baba kauza nyumba, akitarajia mgao. Miaka arobaini na moja ni kama siku 14elfu+++, huyu mzee alikuwa anamhudia yeye. Tu asume gharama za maisha yake ya kila siku kuanzia kula, kuvaa, matibabu, nauli ya kwenda shule nk, tufanye kwa kiwango cha chini ni elfu 7 na Mia 5, ukizidisha miaka 41*siku 365 unapata kama siku 14= 14965, ulichukuwa 14965*7500 kima cha chini cha matumizi kila siku ni sawa na 112,237,500 hebu amrudishie kwanza huyo mzee wake hicho kiasi ndo aamue kumdai. Mzee kugawiwa ni hiari yake na uliona mzee ameamua kufanya hivo alishaona huyu ni mpumbavu, hana mwelekeo, hivo kama na wewe una hayo mawazo ya kusubiri mgao kwa mzee wako anza kufanya kazi, mzee wako ana haki ya kurithisha mali zake kwa mskiti au kanisa, au hata kurithisha paka wake kipenzi na kukuacha wewe unayejiita mwanae wa kuzaa. Tengeza mazingira ya kuaminiwa na babako Ingali mapema.
 
Wengi humu ni mananga wa masuala ya sheria ndio maana mnakomenti utumbo.
Huyo mzee hana haki ya kutoroka na fedha zote huku ana watoto( familia).
Pia kijana miaka 41 unataka ukaanze maisha!!!!
Huruma sana.
Ushauri: Mwache aondoke nazo, ndizi zitakazomuua haraka wewe pambana. Ingawa ukionda court utapata chochote kitu
 

ah wewe hu ni wajibu wake kama mzazi kumlea mtoto usianze kuleta hizo expenses into the equation. kwani unapoleta mtoto hujui kuwa jukumu lako kama mzazi ni kuhudumia huyo mtoto?
kufika mpka miaka 41 bado yupo nyumbani kuna factors nyingi lakini from experience pia mzazi mara nyingi anakuwa pia amechangia kwa hilo kutokea in one way or another.
mwanao kutarajia urithi kutoka kwako ni haki yake. huwezi kuwa na akili mbovu kama mzazi eti ukagawie msikiti au kanisa ukamuacha mtoto wako. charity always starts at home. hata iyo imani yako itakuwa na mashaka kama unaweza kuwasaidia watu baki wakati wanaokuhusu unashindwa , wewe ni worse off than yule ambaye hana ata imani ya dini.
 
Mwenzenu kapewa chake ukooo....anatafuta nissan dualis...hehehehehe jamaa 41 yrs ya bure
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Yako wewe na nani aisee

Tafuta Mali zako mwenyewe

Ndio matatizo ya wazee kulea wazee ulitakiwa uwe umetimuliwa hapo tangu una 18
 
Crap

Mwanaume akishafika 18 to 21 lazima aondoke
 
Uondokenuende wapi tena wakati hapo ndio home
Ukatafute maisha yako

Kwani baba yako angekaa Kwa baba yake ingekuaje

Mbona unaongea kama taahira ?

That is your parents home not yours
 
Nyumba ya baba yako, unataka akugawie kidogo? Hata kama ni mtoto wa kwanza au kitinda mimba huna haki. ile ilikuwa ni mali yake, au ulichangia kujenga? mheshimiwa tafuta mali yako kuliko kupoteza muda kwenda mahakamani au kwa wazee! 😎
 
Fedha na Mali kijana hurithi kutoka kwa baba yake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Miaka 42 mkuu? Na unawaza Kibunda cha Mzee? Tutafute pesa za tu wenyewe we unalilia vipi pesa ya Mzee wako na hajafa aisee unataka laana? Nani alikwambia iyo mali ya Mzee wako ni yako? Nimesikitika sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…