Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Hiyo nyumba ulijenga nae? Nawewe jenga yakwako siku unauza umgaie Mwanao hela
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo

Sasa Acha kokomaa na ujinga we Mzee kwahiyo ukizaliwa hapo ni nyumba yako iyo? Acha ujinga alafu kwann unakaa Om adi leo aisee embu jiongeze bwana sepa om
 
naona uko mbioni kuiba, au kutoa uhai kukimbia na hela za baba
 
Hiyo nyumba ni yako?
Hasira ya nini na mali si yako?
Ninyi ndiyo mnaoua wazazi ili mpate mali.
 
Ulisahau kwamba lakwako hapo lilikuwa ni begi tu au Mzee wako hakuwahi kukwambia.
 
Utoto unakomea 18 yrs from there unapaswa kuhustle siyo ukarishe makende ukisubiri kurithi. Huyo mzee akili yake na yangu sawa, mwanangu ana haki ya kudai huduma ikiwa yuko shule au chuo, tofauti na hapo anapaswa kuanza kuangaika na maisha yake.
Nimekupa ushauri wa bure kama na wewe una akili ya kusubiri urithi basi anza kujiandaa kisaikolojia
 
Baba ana siri zake kuhusu uzazi wake. So usijiforce eti mwanae kabisa..Huenda kakuhurumia tu kuitwa mwanae
Anyway hiyo mali naye alitafuta maana babu yako alimkamia hivyo2 so nawe tafuta uwafadhili au uwakamie wanao
 
Hivi kwanini watu mnasemanga huyu "kijana" wa miaka 41 anayeomba ILI AANZE MAISHA?!
 
Upumbavu sio tusi, ila ni hali na wewe una hali hiyo!
 
Kapambane Mzee Acha kutuchora. Sasa nyumba ya Mzee unalilia Nini Jenga Yako na Wewe uuze
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] majibu ya kiutu uzima haya l Kwa akili zake huyu anaona ana haki hapo wakati Mzee ameshajua huyu box tu kichwani
 
Kwanza miaka hiyo ni mtu mzima sio kijana. Pili ulitakiwa uongee na dalali juu ya chako na sii utegemee kutoka kwa baba, na mwisho usipoteze muda wako kutafuta mwanasheria pesa ni ya baba labda uwe na mchango wako katika ile nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…