Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Ur not the true son of ur father. He is not ur biological father. He just can't tell u that..
 
41 yrs bado unalilia urithi wa baba acha masihara
 
Ningekuwa mimi ndio mzee wako ningekununulia Chuma cha vitumbua. Mngeenda mahakamani kuweka pingamizi kabla ya nyumba kuuzwa, na kwa kua ishauzwa basi hakuna namna.

ANGALIZO. Mdingi akifa wewe utahudika moja kwa moja
 
Mkuu unaonekana wewe ni tatizo kwa mzee,kwanza umri huo siyo wa kuishi nyumbani na usingekuwa tatizo na mzee wako 245ML ni pesa nyingi sana asingeshindwa kumpa mwanaye mpendwa angalau 10ML,yaani mzee mwenye watoto watatu tu watoto wake kabisa aliowazaa na akawalea kwa mapenzi yote anashindwa kukupa hata 5ML??
Hapana kuna kitu hakipo sawa wewe/ninyi na mzazi wenu.
 
Mkuu usifadhaike mimi ushauri wangu upo hivi kama mzee kakujibu hivyo ni bora ufanye mpango utoke hapo ulipo ikiwezekana katafute shughuli yeyote unayoweza kuifanya ndgu yangu hela itayopatikana tafuta chumba upange anza kujiwekea akiba mdgo mdogo usile itakusaidia baadae siku baba yako akiishiwa kabsa atajuta kwa hicho alikufanyia usijaribu kushindana na mzazi hata siku moja bro we kubali yaishe.
 
Watu wengi wanatabia ya kupotosha wengine unakuta mtu anafany jambo na linampa faida ila wengne anawashauri wasifanye ,sijui ndio wivu wakibongo ili wote tubaki maskini!
Wapo wengi tu humu ambao kwa namna moja ama nyingine wameshikwa mkono na wazazi ,walezi au ndugu zao hadi kufikia mahali wakaweza kujitegemea.
Hivyo suala la kupewa pesa na mzee inategemea na makubaliano yenu usilazimishe kaa uzungumze nae na kama kuna mahali Ulimkosea jirudi mwsho atakusadia tu.
shida hazina umri..
 
Mdogo wangu kwanza nakupa pole kwa kutojielewa ktk umri huo. Kimsingi baba yako kaona mbali, kama hadi umri huo hajao na ukijishughulisha na kuwa na familia..kaona siku akifa mtauana kugombania urithi huo wa nyumba. Kurahisisha kaona bora aiuze..ale chake ili akili zenu zifanye kazi ya kujitafutia maisha. Unafikiri wazazi hatushtuki kusikia vijana wanauwa wazazi kisa utajiri! Embu amaka..acha kutegemea cha wazazi..pambana tafuta chako..kuwa na maisha yako uwe huru na maisha ...maana mtegemea ndugu mtumwa! Haki ya kuwa wewe ni mtoto halali...haikupi haki ya kurithishwa mali...as long as mwenye mali hajaandika jina lako ktk nyumba au mali zake...hizo hazikuhusu! Pole lakini...tafakali na chukua hatua😎😎😎
 
Kama wewe ni wa huko Kaskazini tuombe Mzee apewe ulinzi wa Polisi Taifa lisije kupata msiba mwingine!
 
Afu wew acha utani basi wew siyo kijana wa miaka 41
 
CCM oyeeee📢
Mpe hongera mzee kwa kujenga na kukuzaa maana umezaliwa na mzee mwenye akili nyingi na bado anazo anakufundisha maisha kwa kukunyima pesa zake.

Pesa ni zake akipenda kukupa au kukunyima ni yeye. Huna chako hapo wala haki labda ikiwa ungemshawishi asiuze afariki ndiposa ungerithi.

Keshakutakia kila la heri, tembea mbele katafute maisha huna cha utoto bado miaka 19 tu ufikie umri wa kustaafu.

Katibu hicho kikoozi
 
Unalowaza mzee mda alishatoka kitambo ww waza kumuua wakati apo ulipo tayar alishakumaliza wala hateteleki anacheza na akili hachez na mwili hata kidgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…