Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Wazazi wengine wanakera bwana....sasa wee umenizaa kwa kutaka raha yako ya maisha leo hutaki na mie nifurahie maisha basi bora nikudedishe tuu.
Halafu inasaidia nn kukaa jela miaka yote
 
Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Aliirithi? Kama jibu ni hapana basi ana haki yoyote na pesa yake! Na kama ni mzaramo aisee ndo utajua hujui.
 
Akili ya kawaida itasema ni haki yake, nawe ukatafute vyako.. Lkn hakika hakika, hii ni miongoni mwa vyanzo vya umasikini Africa.. Hakuna muendelezo wa kupambana na umasikini kutoka kizazi kimoja kwenda kingine!
My assumptions ni kwamba mzee ana zaidi ya 60 years, hizo pesa anaenda kutapanya unless ana michoro yake mizuri.

Ningeshauri akupatie 150m mngefungua biashara ya familia yenu na siyo kukupa wewe pesa ukatapanye; yeyote atakayesimamia sawa tu kadiri ya makubaliano yenu, 100m abaki nayo aponde maisha aende na likizo hata Seychelles
 
Wewe na huyo baba yako wote hamjielewi. Anakuachaje muda wote mpaka unazeekea nyumbani
Yamkini amemshauri mara kadhaa hakusikia na alijitia kiburi akisubiri arithi hiyo nyumba Sasa mzee kamuwahi
 
Yaan wew jamaa
 
Mjamaaa umenikumbusha mbaliii sanaaa🙏
 
Hiyo ni saving kubwa sana, watanzania wengi hatuna saving yaani tunaishi kwa formula hii;
Income= Consumption
no saving, no investment

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Ila sasa hiyo saving alivyoimaliza unategemea angepewa mgao ungechukua hata mwezi?

Kwanza sidhani kama ni kweli hii hadithi maana kwa umri huo ilikuwa asiwaze kabisa mali ya baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…