sasa ikawaje akili mnemba ikaingilia kati ama!Nilikuwa najua
Basi utakua fit, maana dereva mzuri ni yule anaeendesha siku zote ila mara mbili kwa mwaka ukipewa utaendesha ila ufanisi utakua zero.Wakati fulani nilikuwa nimeshaweza ilaaa nilivyoacha hapo nikaharibu
Anza kupima kwenye kijiko au karibu home uwe unaangalia jinsi navyopikaLeo nimeweka mafuta kidogo lakini ajabu wali unawaka waka loh!
ππToa formula ya kupika wali mkuu.ππ utani wako fanya uwe kweli basi π
Sa unashindwaje...basi pika wali wa kukaanga kama nao unasumbua..basi pika kama wanavyopika mama ntilie...wanaweka maji,mchele,chumvi na mafuta,wanapalia then ndiyo wanainjika motoni.....ukitolewa umeiva tayari
Namuelekeza pole poleππToa formula ya kupika wali mkuu.
Binti wewe unajua kupika. Ila asikueleze mtu non stick haziunguzi chakula noo. Non stick hazigandishi sufuria makoko only.π€£Mi nadhani achana na masufuria haya ya kizamani tuliyozoea kupikia misibani...jaribu hizi sufuria za kisasa za kijerumani labda zitakubalancia mafuta mpenzi π₯΄
Basi utakua fit, maana dereva mzuri ni yule anaeendesha siku zote ila mara mbili kwa mwaka ukipewa utaendesha ila ufanisi utakua zero.
Ndio kama wewe sasa, umepika ila mafuta mengi kwa maana makadirio yako juu ila ukipika tena kesho yanaweza yakawa chini ila kesho kutwa yatakaa sawa...
Sooo, pika, pikaaa ,pikaaaaa mkuu.π
Ukoko wake ni mtamu ila mgumu mnoπ€Binti wewe unajua kupika. Ila asikueleze mtu non stick haziunguzi chakula noo. Non stick hazigandishi sufuria makoko only.
Na hazichafuki rahisi kuosha.
Wewe maswala ya non stick kutounguza chakula umesikiaaaa wapiiiii.
Non stick ukiunguza chakula kinatoka kama tofali kwenye mashine ya umeme. Ukoko hutafuni wa non stick.
SITOKI HAPA!..πWewe nimekwambia sijakuita ππ