malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kila la kheri Mwanao apate afya njema. AminaHabar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu ,wameniandikia x ray Tena
Sasa wakuu naomba kwa anaefahamu daktar bingwa wa mishipa ya fahamu moi anitajie
Na MRI mloganzila ipo?Pole sana mkuu.
Ila nafikiri madaktari wa kitengo cha mishipa ya fahamu kwasasa wapo Mloganzila. Hivyo baada ya zoezi hilo unaweza kuwa directed kule.
Mungu amsaidie apone🙏🏽🙏🏽.
Nafikiri vitendea kazi vingi viko kule.Na MRI mloganzila ipo?
IpoNa MRI mloganzila ipo?
Kwaiyo hapo niende moi au mloganzila
Anzia hapo moi,kisha wao watakudirect mloganzilaKwaiyo hapo niende moi au mloganzila
Pole kwa kuuguliwa. Pia kuna Dr Njenje hapo MOI.Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu ,wameniandikia x ray Tena
Sasa wakuu naomba kwa anaefahamu daktar bingwa wa mishipa ya fahamu moi anitajie
Nidaktar wa mishipa ya fahamu amqPole kwa kuingiliwa. Pia kuna Dr Njenje hapo MOI.
Nimeanza Leo wamenipeleka kwa daktar wa mifupa majibu niyale Yale,,Sasa mim nataka kuonana na wamishipa ya fahamu kwa uchunguzi na vipimo zaidUngeenda hospital Moi leo ni clinic ya watoto kesho madaktari wengi wanakua kwenye operation siku nzuri nyingine ni alhamisi utakutana na clinic ya watoto
Dr mcharo
Dr Msami
Dr lema
Etc
Yeyote hapo atakupa msaada vizuri
Ndo nimeanzia hapa Leo moi wamenipeleka kwa daktar wa mifupa kafanya x ray majibu niyale Yale kama ya mkoani niliko toka,,Sasa nataka nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu nae afanye uchunguzi zaid,,ndo naulizia moi wapo hao wamishipa ya fahamu au ndo mpaka mloganzilaAnzia hapo moi,kisha wao watakudirect mloganzila
Nilikuwa na case ya baba yangu,alipata presha ikaathiri mishipa ya fahamu,tulianzia temeke,tukapigwa rufaa moi kisha mloganzila
Kule madaktari wote wazuri tu katika nyanja ya mishipa ya fahamu
Kila la kheri expert wangu
Vip mkuu baba Yako kwenda mloganzila aliitumia kadi ya moi hiyo hiyo au aliopewa barua ya referral toka moi kwenda mloganzilaAnzia hapo moi,kisha wao watakudirect mloganzila
Nilikuwa na case ya baba yangu,alipata presha ikaathiri mishipa ya fahamu,tulianzia temeke,tukapigwa rufaa moi kisha mloganzila
Kule madaktari wote wazuri tu katika nyanja ya mishipa ya fahamu
Kila la kheri expert wangu
Ili niweze kuonana na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu Kwaiyo hapa kesho natakiwa niende wap moi au mloganzila ?Pole sana mkuu.
Ila nafikiri madaktari wa kitengo cha mishipa ya fahamu kwasasa wapo Mloganzila. Hivyo baada ya zoezi hilo unaweza kuwa directed kule.
Mungu amsaidie apone🙏🏽🙏🏽.
Ndiyo. Ni Dr wa mfumo wa fahamu.Nidaktar wa mishipa ya fahamu amq
Dr nani na anapatika hospital ipi na ipiNdiyo. Ni Dr wa mfumo wa fahamu.
Ila hatukuhudumiwa Muhimbili, isipokuwa moja ya hospitali zake hapo Dar.