Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

PCMC Upanga, Kigamboni na Kimara. Tulipata huduma Kigamboni, maana tulikuwa tunaishi huko.
MRI ilifanyika BESTA Diagnostic Centre, Kinondoni na Nerve Conduction Studies (NCS) ilifanyika hapo hapo Kigamboni.
Tulitumia bima ya NHIF.
 
Mkuu Dakatari wa mishipa una maanisha Neurologist,??sizan kama kwa maelezo yako unatakakiwa kuonana na Neurologist,.
Wewe unatakiwa umuone dakatari wa mifupa au Daktari wa Upasuaji wa mishipa ya fahamu na ubongo(Neuro surgen). Usije ukachanganya mambo.
 
Vip mkuu baba Yako kwenda mloganzila aliitumia kadi ya moi hiyo hiyo au aliopewa barua ya referral toka moi kwenda mloganzila
Alipewa barua ya referral,hao wataangalia hilo tatizo kama linafaa kupelekwa kule watampeleka

Lakini naona wataalamu wa mishipa ya fahamu wamehamishiwa kule,kama wote wapo kule basi watakuhamisha kule
 
Ndo nimeanzia hapa Leo moi wamenipeleka kwa daktar wa mifupa kafanya x ray majibu niyale Yale kama ya mkoani niliko toka,,Sasa nataka nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu nae afanye uchunguzi zaid,,ndo naulizia moi wapo hao wamishipa ya fahamu au ndo mpaka mloganzila
Hao watakupa transfer kwenda kwenda mloganzila
 
Mkuu Dakatari wa mishipa una maanisha Neurologist,??sizan kama kwa maelezo yako unatakakiwa kuonana na Neurologist,.
Wewe unatakiwa umuone dakatari wa mifupa au Daktari wa Upasuaji wa mishipa ya fahamu na ubongo(Neuro surgen). Usije ukachanganya mambo.
Uzuri yuko moi tayari so hizo provisional results za x ray zitawasaidia kujua wanampeleka department ipi asiwe na shaka moi department zote zipo
 
Uzuri yuko moi tayari so hizo provisional results za x ray zitawasaidia kujua wanampeleka department ipi asiwe na shaka moi department zote zipo
Result moi wao wanasema kile kile kama Cha mkoani,Sasa nataka kifanyike zaid vipimo kujua kiini Cha Cha tatizo maana naambiwa na madaktar wa uku kuwa natakiwa nifanye na MRI ilikujua shida hasa ya mtoto imetokana na nin mgongo kunyooka,Sasa ndo naambiwa neurologist au neurosergen
 
Hao watakupa transfer kwenda kwenda mloganzila
Sasa mkuu wa mifupa hapa moi kasema nipime x ray,majibu yakatoka kama yaleyalle ya mkoani Sasa,, lengo langu mim kuchungizwa zaid Hadi mifumo yake yafahamu uko kwenye mgongo Kuna shida ipi imepelekea Hadi mgongo kunyooka na misuli kukaa maa,,Sasa wao watanidirect kweli huko mloganzila?
 
Mara nyingi ukifika hapo wanaanza vipimo upya hata kama ulikuwa navyo na kuhusu kuanza kwa general dr ni sawa na yeye ndio ataku refer kwa specialist husika.
 
Mkuu Dakatari wa mishipa una maanisha Neurologist,??sizan kama kwa maelezo yako unatakakiwa kuonana na Neurologist,.
Wewe unatakiwa umuone dakatari wa mifupa au Daktari wa Upasuaji wa mishipa ya fahamu na ubongo(Neuro surgen). Usije ukachanganya mambo.
Uzuri madaktari hapo huwa wanaitana wote linapokuja swala la maamuzi kuna ndugu yangu alikuwa na uvimbe kichwani wakamfanyia CT ikaonekana inabidi afanyiwe upasuaji lkn wakaitana specialist zaidi ya sita tofauti walikaa zaidi ya saa kujadili CT Scan na mwishowe wakaamua atumie dawa zitamaliza uvimbe badala ya kumfanyia upasuaji na anaendelea vizuri kabisa.
 
Sasa mkuu wa mifupa hapa moi kasema nipime x ray,majibu yakatoka kama yaleyalle ya mkoani Sasa,, lengo langu mim kuchungizwa zaid Hadi mifumo yake yafahamu uko kwenye mgongo Kuna shida ipi imepelekea Hadi mgongo kunyooka na misuli kukaa maa,,Sasa wao watanidirect kweli huko mloganzila?
Linapokuja swala la mishipa ya fahamu wataku direct kule,maana wataalamu wamehamia kule

Vyovyote itakavyokuwa pambana uonane na hao wataalamu,kama ikitokea hawaja kudirect

Maana umetoka mbali ni bora upambane ujue shida hasa iko wapi
 
Nimefanikiwa kuonana na daktar sjajua ni wa fahamu au laa ila nimemuelezea kwa kina akasema tufanye MRI ya mgongo wote ,ndo nasubiria kesho asubuh kupima
 
mimi nahisi unatakiwa onane na Daktari wa mifupa ya mgongo(spine)
maana shida ni pingili za mgongo.

Pale MOI wapo, mmoja anaitwa Dr. SHADRACK.
 
Du huelew ww nenda mloganzila na jee una rrufaa au mwenyeeew tu uumejjileetaaaa
Mkuu mkoani baada ya kuona matibabu hayaeleweki na rufaa inasumbua ikabid nije tu moi bila rufaa lakini nkapokelewa kama mgonjwa wa wapublic wa gharama nafuu,,,Sasa uko mloganzila sjui kama wanapokea kadi ya moi ukasajiliwa kama public
 
Result moi wao wanasema kile kile kama Cha mkoani,Sasa nataka kifanyike zaid vipimo kujua kiini Cha Cha tatizo maana naambiwa na madaktar wa uku kuwa natakiwa nifanye na MRI ilikujua shida hasa ya mtoto imetokana na nin mgongo kunyooka,Sasa ndo naambiwa neurologist au neurosergen
Huo ndo utaratibu huwezi kuanza na kipimo cha juu utaanza na kipimo cha chini then kama hakileti majibu ya uhakika ndo kinafanyika kingine
Tena kama unatumia bima hawawezi kutoa Kigali cha MRI bila kuambatanisha majibu ya awali ya x ray
Kwa hyo kuwa mpole hayo majibu ni hatua ya mwanzo na mwisho utapata huduma stahiki
 
Wakuu kumchoma mtoto sindano ya usingizi ili afanyiwe MRI Kuna madhara yoyote kwa mtoto juu ya hiyo sindano ya usingizi
Hawezi kufanyiwa MRI bila kusinzia si unajua mtoto ataogopa na akijitikisa majibu yatakuwa changamoto
Acha mtoto apewe ketamine haina shida 😀
 
Back
Top Bottom