Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

mbona wewe ni mzitosana ,mgongo ni mfumo pia wa fahamu ,uliza huyo dr ,anaitwa professor kahamba ,ndomambo yake hayo .....
Mkuu ukiungua au kuuguza lazima uwe mzito sana,hogera Yako wewe ulie timamu ambae sio mzito sana huugui Wala kuuguza
 
Expert wangu kuhusu dawa ya usingizi ni ili mtoto atulie apimwe vizuri

Hata mtu mzima akiwa na wenge anafanyiwa hivyo hivyo

Pili maadamu upo kwa wataalamu hapo,ebu fuata utaratibu unao ambiwa,hii sijui daktari gani nimuone itakupoteza unless umeambiwa sasa uende mfano kule Mloganzila ukaonane na wataalamu wa mfumo wa fahamu,pale utaulizwa je unataka kumuona daktar gani hapo ndio mtaje huyo ambaye unataka kuonana nae
 
Na kama imetokea wamekwambia uende kwa daktari wa mishipa ya fahamu

Muone doktori Mbogo mwanamama huyu yupo vizuri sana
 
Ndo nimeanzia hapa Leo moi wamenipeleka kwa daktar wa mifupa kafanya x ray majibu niyale Yale kama ya mkoani niliko toka,,Sasa nataka nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu nae afanye uchunguzi zaid,,ndo naulizia moi wapo hao wamishipa ya fahamu au ndo mpaka mloganzila
Kipimo kitachokusaidia ni MRI waombe hicho kipimo
 
PCMC Upanga, Kigamboni na Kimara. Tulipata huduma Kigamboni, maana tulikuwa tunaishi huko.
MRI ilifanyika BESTA Diagnostic Centre, Kinondoni na Nerve Conduction Studies (NCS) ilifanyika hapo hapo Kigamboni.
Tulitumia bima ya NHIF.
yupo vizuri kwenye matatizo ya mishipa ya fahamu? na gharama zao estimation kwa cash inaweza kia around how much? au nikimfungulia mgonjwa wangu bima ya nhif ni ipi itafaa mkuu? kuna kijana pia alipata neuro damage ya mkono sasa haufanyi kazi, wameshauri afanyiwe plastic surgery kuondoa mishipa iloanza kufa, i wish nimsaidie apone but sijui wapi wako vizuri mkuu
 
Habari Mkuu.
Nami kabla sijaugua, nilikuwa napaona pa kawaida sana (kama zahanati tu), pamoja na kujitangaza kuwa ni madaktari bingwa. Siku niliyopata tatizo la kiafya, pia nilienda kutibiwa hapo nikapata huduma za kawaida tu(kupewa dawa za maumivu tu bila vipimo).

Hali ya kiafya ilivyozidi kuwa mbaya, nikadokezwa kuwa kulikuwa na mama mmoja ambaye alipooza kuanzia kiunoni kushuka chini, mara tu baada ya kujifungua. Huyo mama alikuwa anatibiwa hapo na kwa muda huo alikuwa ameanza mazoezi ya kutembea. Nilimwendea akaniambia niende hapo hospitali niombe kuonana na Dr Njenje. Ndiye huyo Dr bingwa wa Muhimbili. Nashukuru sana kwa huduma zake.

Kwa upande wa gharama zao sikumbuki, maana nilitumia bima ya NHIF na ni siku nyingi zimepita(2019) na document ziko mbali na nilipo kwa sasa.

Kutumia bima ni nafuu kuliko cash.

Ingia inbox, Nimekutumia namba ya simu ya mmoja wa watoa huduma wao kwa maelezo zaidi.
 
be blessed mkuu.
 
Back
Top Bottom