Hahaha!Mochuari
Ulipofika hapo MOI ulijaribu kuonana na Mganga mkuu? Sikia, ni hivi......omba kuonana na huyo mganga mkuu haraka sana kwani hawa wengine watakuangusha tu makusudi ili tu uwape hongo.Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi
Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu ,wameniandikia x ray Tena
Sasa wakuu naomba kwa anaefahamu daktar bingwa wa mishipa ya fahamu moi anitajie
Mkapiga MRI kwa kutumia bima ya NHIF? Ni kifurushi gani cha hiyo bima yenu?Naomba kujua pia bima ya NHIF inatoaga huduma ya kumuona daktari bingwa na bingwa bobezi?PCMC Upanga, Kigamboni na Kimara. Tulipata huduma Kigamboni, maana tulikuwa tunaishi huko.
MRI ilifanyika BESTA Diagnostic Centre, Kinondoni na Nerve Conduction Studies (NCS) ilifanyika hapo hapo Kigamboni.
Tulitumia bima ya NHIF.
Mkuu, inaonekana hujasoma kwa utulivu post #59, nimeelezea kwa upana.Mkapiga MRI kwa kutumia bima ya NHIF? Ni kifurushi gani cha hiyo bima yenu?Naomba kujua pia bima ya NHIF inatoaga huduma ya kumuona daktari bingwa na bingwa bobezi?
Ooh, SAWa SAWa,Mkuu, inaonekana hujasoma kwa utulivu post #59, nimeelezea kwa upana.
Ndiyo, tulipiga MRI kwa kutumia bima ya NHIF 2019, si kwa vifurushi vya NHIF 2024.
Huyo daktari bingwa sikumuona kupitia MOI, bali moja ya hospitali zake binafsi.
Mkuu, inaonekana hujasoma kwa utulivu post #59, nimeelezea kwa upana.
Ndiyo, tulipiga MRI kwa kutumia bima ya NHIF 2019, si kwa vifurushi vya NHIF 2024.
Huyo daktari bingwa sikumuona kupitia MOI, bali moja ya hospitali zake binafsi.