I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu