Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

Piga pumb.u kisawasawa mpaka k itoe cheche,ataacha huo upuuzi
 
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Heading tu huyo ni mimi 😅😅😅
 
Mwanamke ana masikio mawili, usipoweza kulizibua sikio moja vizuri, hata lile lingine litashindwa kukusikiliza na kukutii
 
Back
Top Bottom