Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Janeting

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
40
Reaction score
80
Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9. Alianza na 11 tukashuka hadi 9, je, hiyo bei ni sawa kulingana na hali ya gari ilivyo?

Naomba saada wakuu.

IMG-20230816-WA0016.jpg
 
Hali ya gari tutawezaje kulijua kwa kuangalia picha ya nyuma ya gari? Au hali ya gari unaitazama kwa usajili? 9m sio tatizo je? Hiyo gari inaukamilifu ndani? Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia kwenye gari cha msingi tafuta mjuzi wa magari kalicheki ukiridhika chukua
 
Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719568View attachment 2719566View attachment 2719567View attachment 2719569View attachment 2719570

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Premio liold model kabisa hilo 9M? kakuonaje huyo muuzaji! Aisee hapana kabisaa hata kama bado iko katika hali nzuri top 4M-5M na si zaid ya hapo
 
Hali ya gari tutawezaje kujijua kwa kuangalia licha ya nyuma ya gari? Au hali ya gari unaitazama kwa usajili? 9m sio tatizo je? Hiyo gari inaukamilifu ndani? Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia kwenye gari cha msingi tafuta mjuzi wa magari kalicheki ukiridhika chukua
Nimekuelewa mtanzania mwenzangu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.

Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.

Biashara haina formula maalum chief. Dafu unalolonunua jero mtaani mtu analinunua elfu 10 hotel ya kitalii.
 
Back
Top Bottom