Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Hapana!

Ila hiyo 'plate number' inatuarifu kwamba hilo gari limeingia na kutumika Bongo kwa miaka mingi sana...

So, hata liwe na hali nzuri kiasi gani; thamani yake pia lzm ishuke sana!
Aah ok asante Ila bado tuko nyuma wenzetu unaweza ukute new model gari let say 2023 lakini akatumia plate number ya miaka Mingi
 
Hapana!

Ila hiyo 'plate number' inatuarifu kwamba hilo gari limeingia na kutumika Bongo kwa miaka mingi sana...

So, hata liwe na hali nzuri kiasi gani; thamani yake pia lzm ishuke sana!
Watu siku hizi hawaangalii engine babu,body kama inenyooka engine zipo za dubai nzuri kabisa na hazina bei
 
Hapa unapigwa hii gari ukipigwa sana ni m5 kwa hiyo 9 unapata new model yake namba D kabisa iliyonyoka unanunuaje gari namba C

Gari sio namba yake bali gari ni ubora wake

Gari linatazamwa bodi na mechanics zote ziko kwenye ubora gani ndio unanua..
 
Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.

Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.

Biashara haina formula maalum chief. Dafu unalolonunua jero mtaani mtu analinunua elfu 10 hotel ya kitalii.
Nimecheka sana hii comment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muda ndio nimeweza kuona picha,hio gari kwa hio bei unapigwa,hio ukilipa saana isizidi milioni 4.5,hio ni premio old model kwa hio million yako 9 unapata new model ya mkononi kwa mtu tena yenye hali mzuri
 
Back
Top Bottom