Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719608
IMG-20230816-WA0015.jpg
IMG-20230816-WA0013.jpg


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9...alianza na 11 tukashuka hadi 9...je hiyo Bei ni Sawa kulingana na Hali ya gari ilivyo? Naomba saada wakuuView attachment 2719614View attachment 2719615View attachment 2719617

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hahahhahaha hii mpaka madem wa jf wasiojua magari wanasema haizidi 5m sasa sijui unakwama wapi. Hio 9M ni bora ununue IST yenye teknolojia mpya zaidi na ya kisasa kuliko hilo ligari la 5A engine
 
Biashara yeyote ni makubaliano na kuridhika kwa pande zote mbili baina ya mnunuaji na muuzaji. Ikiwa umeridhika na gari na pesa unayo wewe nunua tu.

Kuna mtu anachajiwa laki 1 kupiga bao 1 tu kwa demu halafu demu huyo huyo anaenda kugongwa usiku mzima kwa kutumiwa bodaboda tu imfuate.
Na wewe Mfano wako noma😳😳
W
 
Back
Top Bottom